Word
bibi
Meaning
grandmother
Part of speech
proper noun
Pronunciation
Course
Lesson
Usages of bibi
Bibi hutumia fimbo kutembea kwenda kanisani kila Jumapili.
Grandmother usually uses a stick to walk to church every Sunday.
Bibi huenda kwa daktari wa meno mara moja kwa mwaka wakati wa likizo.
Grandmother usually goes to the dentist once a year during the vacation.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.