Usages of kipya
Tafadhali uwashe taa ili tuweze kusoma kitabu changu kipya.
Please turn on the light so that we can read my new book.
Mimi nina kitabu kipya.
I have a new book.
Mimi ninaweka akiba kidogo kila wiki ili kununua kiatu kipya.
I save a little every week in order to buy a new shoe.
Mimi ninapenda kugundua kitu kipya.
I like to discover something new.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.