Usages of kliniki
Kaka yangu anampeleka mama kliniki kila Jumatano.
My brother takes mother to the clinic every Wednesday.
Daktari alimfanyia mama uchunguzi klinikini, akamwambia apumzike.
The doctor examined mother at the clinic and told her to rest.
Kliniki iko karibu na shule.
The clinic is near the school.
Daktari alipima urefu wa binti na uzito wake kwa mizani ya kliniki.
The doctor measured the girl’s height and her weight with the clinic’s scale.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.