Usages of uvuguvugu
Si soda, bali maji ya uvuguvugu kabla ya chakula.
Not soda, but lukewarm water before the meal.
Tafadhali niletee maji ya uvuguvugu jioni.
Please bring me lukewarm water in the evening.
Mama anasafisha sakafu kama unavyoweza kuona, kwa taulo na maji ya uvuguvugu.
Mother is cleaning the floor as you can see, with a towel and lukewarm water.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.