Usages of kurekebisha
Tunapaswa kuyafanyia uchunguzi makosa yetu, ili tuweze kuyarekebisha kabla ya kufanya jaribio jipya.
We need to investigate our mistakes so that we can fix them before taking a new test.
Baba anarekebisha mlango.
Father is fixing the door.
Fundi anarekebisha baiskeli.
The repairman fixes the bicycle.
Fundi atarekebisha dari na kuweka balbu mpya kesho.
The repairman will fix the ceiling and put in a new bulb tomorrow.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.