Kulingana na ratiba mpya, mapumziko ni dakika kumi.