Usages of kibodi
Kibodi yangu ni tulivu, lakini kipanya cha Juma kina kelele.
My keyboard is quiet, but Juma’s mouse is noisy.
Mimi ninatumia kibodi kuandika barua pepe jioni.
I use the keyboard to write an email in the evening.
Mimi ninatumia kipanya na kibodi kuandika barua pepe jioni.
I use a mouse and a keyboard to write an email in the evening.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.