Usages of mara mbili
Juma anapendekeza tule chakula cha mboga mara mbili kwa wiki.
Juma suggests that we eat vegetarian food twice a week.
Wewe unakula mkate mara mbili kila siku.
You eat bread twice every day.
Ukiendelea na utaratibu huu, faida zako zitaongezeka mara mbili.
If you continue with this procedure, your profits will double.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.