Usages of mkoba
Nilibeba mkoba mzito kwenye bega langu la kushoto.
I carried a heavy bag on my left shoulder.
Mimi nina mkoba mpya.
I have a new bag.
Mkoba wa mgongoni niliokuwa nao zamani ulikuwa mzito sana na haukuwa mzuri kwa mgongo wangu.
The backpack I had before was very heavy and was not good for my back.
Mkoba wangu ni mwepesi.
My bag is light.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.