Usages of mwongozo
Ni vizuri tuchukue kauli za uadilifu kama mwongozo tutakapopanga sheria mpya.
It is good that we take statements of integrity as our guidance when we draft new laws.
Mwalimu anatoa mwongozo kwa wanafunzi.
The teacher gives guidance to the students.
Tafadhali tusipige makofi mapema; tusubiri mwongozo wa MC.
Please let’s not clap early; let’s wait for the MC’s guidance.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.