Usages of mjadala
Wakati mwingine mimi hushangaa ni kwa jinsi gani watu hukubali kuingiza mifano migumu katika mijadala rahisi.
Sometimes I am surprised by how people agree to insert difficult examples into simple discussions.
Mjadala ni muhimu.
Discussion is important.
Mimi ninapenda mjadala wa kisiasa nyumbani jioni.
I like political discussion at home in the evening.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.