Usages of pale
Wateja hupenda bidhaa bora sokoni, hasa pale wanapohitaji usalama wa afya.
Customers like quality goods at the market, especially when they need health safety.
Mimi nitaenda pale na Juma.
I will go there with Juma.
Priza hii haifanyi kazi; tumia priza iliyo ukutani pale.
This socket does not work; use the one on the wall there.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.