Usages of kudumisha
Ni bora usikaange vyakula vingi mara nyingi, ili kudumisha afya.
It is better not to fry many foods often, in order to maintain health.
Mimi ninadumisha heshima kwa marafiki.
I maintain respect for friends.
Tafadhali safisha choo mara tatu kwa wiki ili kudumisha usafi.
Please clean the toilet three times a week in order to maintain cleanliness.
Faida hizi zote zitatimia iwapo tutadumisha utaratibu uliokubaliwa.
All these benefits will come true if we maintain the agreed procedure.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.