Lesson 17

QuestionAnswer
this (M/Wa)
huyu
this pig
nguruwe huyu
that (M/Wa)
yule
that cow
ng'ombe yule
this goat
mbuzi huyu
that goat
mbuzi yule
this chicken and that chicken
kuku huyu na kuku yule
these (M/Wa)
hawa
these goats
mbuzi hawa
these pigs
nguruwe hawa
these cows
ng'ombe hawa
those (M/Wa)
wale
those chickens
kuku wale
these chickens and those chickens
kuku hawa na kuku wale
this (N/N)
hii
this banana
ndizi hii
this pig and this banana
nguruwe huyu na ndizi hii
that (N/N)
ile
that butter
siagi ile
that cow and that butter
ng'ombe yule na siagi ile
this coconut and that coconut
nazi hii na nazi ile
these (N/N)
hizi
these bottles
chupa hizi
these coconuts
nazi hizi
these goats and these coconuts
mbuzi hawa na nazi hizi
those (N/N)
zile
those coconuts
nazi zile
these bottles and those bottles
chupa hizi na chupa zile
that banana and those bananas
ndizi ile na ndizi zile
this bottle and these bottles
chupa hii na chupa hizi
leopard
chui
Those leopards are big.
Chui wale ni wakubwa.
sheep
kondoo
This sheep is so nice.
Kondoo huyu ni mzuri sana.
donkey
punda
I like that donkey.
Ninapenda punda yule.
horse
farasi
That horse is bigger than the donkey.
Farasi yule ni mkubwa zaidi kuliko punda.
zebra
punda milia
Is this zebra nicer than the donkey?
Je punda milia huyu ni mzuri zaidi kuliko punda?
gazelle / deer
paa
gentle
mpole
This little gazelle is very gentle.
Paa mdogo huyu ni mpole sana.
buffalo
nyati
Those buffalos are very fierce.
Nyati wale ni wakali sana.
baboon
nyani
A baboon is not a buffalo.
Nyani si nyati.
The baboon eats a banana.
Nyani anakula ndizi.
hyrax*
pimbi
* You don't know what I am ? Look at the lecture file and you ll see my photo. I am sooooo cute.
I like the hyrax a lot.
Ninapenda pimbi sana.