Lesson 16

QuestionAnswer
morning
asubuhi
Good morning
Asubuhi njema
pleasant /nice (N/N)
njema
pleasant / nice (M/Wa)
mwema
a good person (morally upright/kind)
mtu mwema
good people (morally upright / kind)
watu wema
May I come in? / Knock knock
Hodi hodi
May I come inside (the house) ?
Hodi nyumbani ?
Welcome
Karibu
news
habari
How is the morning ? / How are you doing ? / What's up? / (lit. the news (sg) of the morning)
Habari ya asubuhi ?
How is the morning ? / How are you doing ? / What's up? / (lit. the news (pl) of the morning)
Habari za asubuhi ?
Fine / I am fine./ Everything is fine.
Nzuri.
Peaceful / I am fine. / Everything is peaceful.
Salama.
How is home? ( How is the family? )
Habari za nyumbani ?
work
kazi
How is work?
Habari za kazi?
trip / journey
safari
How is/was the trip?
Habari za safari ?
How is school?
Habari za shule?
Cool. / Calm. / I am fine.
Poa.
clean / pure / I am fine.
Safi.
to drink
kunywa
to eat
kula
I drink
ninakunywa
I drink coffee every morning.
Ninakunywa kahawa kila asubuhi.
you drink
unakunywa
Do you drink juice ?
Unakunywa juisi ?
he drinks
anakunywa
Dad drinks tea in the morning.
Baba anakunywa chai asubuhi.
we drink
tunakunywa
We drink a bottle of juice.
Tunakunywa chupa ya juisi.
You (pl) drink
mnakunywa
Do you (pl) drink ice tea?
Mnakunywa chai ya barafu ?
they drink
wanakunywa
They drink tea at home.
Wanakunywa chai nyumbani.
sugar
sukari
I don't drink
Sinywi
I don't drink coffee with sugar.
Sinywi kahawa na sukari.
you don't drink
Hunywi
You don't drink iced coffee.
Hunywi kahawa ya barafu.
he doesn't drink
hanywi
The fisherman doesn't drink juice.
Mvuvi hanywi juisi.
we don't drink
hatunywi
from / out of
kutoka kwa
We don't drink from bottles.
Hatunywi kutoka kwa chupa.
you ( pl) don't drink
hamnywi
You (pl) don't drink iced tea in the morning.
Hamnywi chai ya barafu asubuhi.
they don't drink
hawanywi
Children don't drink coffee.
Watoto hawanywi kahawa.
I eat
Ninakula
I eat meat.
Ninakula nyama.
meat
nyama
I don't eat
Sili
I don't eat sugar.
Sili sukari.
cow / ox
ng'ombe
beef
nyama ya ng'ombe
You eat
Unakula
You eat beef.
Unakula nyama ya ng'ombe.
a nice cow
ng'ombe mzuri
nice cows
ng'ombe wazuri
goat
mbuzi
goat meat
nyama ya mbuzi
you don't eat
huli
You don't eat goat meat.
Huli nyama ya mbuzi.
he eats
anakula
salt
chumvi
sugar and salt
sukari na chumvi
The goat eats salt.
Mbuzi anakula chumvi.
he doesn't eat
hali
The goat doesn't eat meat.
Mbuzi hali nyama.
we eat
tunakula
chicken
kuku
chicken (meat)
nyama ya kuku
We eat chicken (meat).
Tunakula nyama ya kuku.
pig
nguruwe
porc
nyama ya nguruwe
we don't eat
hatuli
We don't eat porc.
Hatuli nyama ya nguruwe.
You (pl) eat
mnakula
banana
ndizi
Do you (pl) eat bananas?
Mnakula ndizi ?
vegetables
mboga
You (pl) don't eat
hamli
You (pl) don't eat vegetables.
Hamli mboga.
They eat
wanakula
coconut
nazi
The children eat coconuts.
Watoto wanakula nazi.
they don't eat
hawali
The people eat sugar, but they don't eat vegetables.
Watu wanakula sukari, lakini hawali mboga.
pepper
pilipili
I don't eat pepper.
Sili pilipili.
bell pepper / Paprika
pilipili hoho
butter
siagi
cow butter
Siagi ya ng’ombe
Coconuts are not vegetables.
Nazi si mboga.
beef with bell pepper
nyama ya ng'ombe na pilipili hoho.
We eat butter every morning.
Tunakula siagi kila asubuhi.