Lesson 15

QuestionAnswer
a long road / long roads
barabara ndefu
a big harbour / big harbours
bandari kubwa
a small country / small countries
nchi ndogo
a nice house
nyumba nzuri
The Atlantic is a large ocean.
Atlantiki ni bahari kubwa.
the Seychelles
Shelisheli
The biggest country of Africa is Algeria and the smallest country are the Seychelles.
Nchi kubwa zaidi ya Afrika ni Algeria na nchi ndogo zaidi ni Shelisheli.
Tanzania is the land of the farmer.
Tanzania ni nchi ya mkulima.
Our country is a country of farmers.
Nchi yetu ni nchi ya wakulima.
Our countries are countries of farmers.
Nchi zetu ni nchi za wakulima.
Our country is beautiful.
Nchi yetu ni nzuri.
Kenia is our beautiful country.
Kenya ni nchi yetu nzuri.
the biggest port of the country
bandari kubwa zaidi ya nchi
Mozambique
Msumbiji
the biggest harbour in the country of Mozambique
bandari kubwa zaidi nchini Msumbiji
a port on the Pacific Ocean / a Pacific Ocean port
bandari ya bahari ya Pasifiki
clothes
nguo
nices clothes
nguo nzuri
big clothes and small clothes
nguo kubwa na nguo ndogo
I like your trousers.
Ninapenda suruali yako.
The trousers are very big.
Suruali ni kubwa sana.
socks
soksi
Socks and trousers are clothes.
Soksi na suruali ni nguo.
coffee
kahawa
I love coffee.
Ninapenda kahawa.
or
au
tea
chai
coffee or tea?
kahawa au chai?
ice
barafu
iced tea
chai ya barafu
iced coffee
kahawa ya barafu
a bottle
chupa
a bottle of iced tea
chupa ya chai ya barafu
juice
juisi
a bottle of juice
chupa ya juisi
juice with ice
juisi na barafu
a big bottle of iced tea
chupa kubwa ya chai ya barafu
medecine
dawa
a small bottle of medecine
chupa ndogo ya dawa
The nurse has medicine.
Muuguzi ana dawa.
The medecine is bad.
Dawa ni mbaya.
soap
sabuni
The nurses have soap.
Wauguzi wana sabuni.
for
kwa
a good soap for clothes
sabuni nzuri kwa nguo
special
maalum
a special soap
sabuni maalum
a special soap for children's clothes
sabuni maalum kwa nguo za watoto
pots / pans
sufuria
big pots
sufuria kubwa
table
meza
a big table
meza kubwa
The long table is nice.
Meza ndefu ni nzuri.
plates
sahani
pots and plates
sufuria na sahani
light
taa
The house has light.
Nyumba ina taa.
computer
kompyuta
My computer is nice.
Kompyuta yangu ni nzuri.
Your computer is better than mine.
Kompyuta yako ni nzuri zaidi kuliko kompyuta yangu.
pen / pencil
kalamu
a long pencil and a short pencil
kalamu ndefu na kalamu fupi
chalk
chaki
chalk or pen
chaki au kalamu
Your chalk is short
Chaki yako ni fupi.
a letter
barua
paper
karatasi
paper for letters
karatasi kwa barua
a pen and paper
kalamu na karatasi
I like your letter.
Ninapenda barua yako.
sharp / fierce (N/N)
kali
trustworthy / honest
aminifu