| Question | Answer |
|---|---|
| to love /like | kupenda |
| I love/like | ninapenda |
| I love children. | Ninapenda watoto. |
| I don't like | Sipendi |
| I don't like fish. | Sipendi samaki |
| You love/like | Unapenda |
| Do you like cats? | Je unapenda paka? |
| You don't like | hupendi |
| You don't like the cook. | Hupendi mpishi. |
| He /she likes | Anapenda |
| He likes giraffes. | Anapenda twiga. |
| he/she doesn't like | hapendi |
| Mum doesn't like my friends. | Mama hapendi rafiki zangu. |
| we love/ like | tunapenda |
| We love birds | Tunapenda ndege. |
| we don't like | hatupendi |
| We don't like that man. | Hatupendi mwanaume yule. |
| you (pl) love/like | mnapenda |
| Do you (pl) like those people? | Mnapenda watu wale? |
| You (pl) don't like | Hampendi |
| Don't you like cockroaches? | Je hampendi mende ? |
| They like | Wanapenda |
| They love tall women. | Wanapenda wanawake warefu. |
| They don't like | Hawapendi |
| My guests don't like spiders. | Wageni wangu hawapendi buibui. |
| I don't like cockroaches. | Sipendi mende. |
| She doesn't like mice. | Hapendi panya. |
| The cat loves mice. | Paka anapenda panya. |
| Dogs don't like cats. | Mbwa hawapendi paka. |
| Birds don't like cats. | Ndege hawapendi paka. |
| Birds like fish. | Ndege wanapenda samaki. |
| Fishes don't like birds. | Samaki hawapendi ndege. |
| The fisherman likes fish. | Mvuvi anapenda samaki. |
| The farmer likes his dog. | Mkulima anapenda mbwa wake. |
| Mum likes her kids. | Mama anapenda watoto wake. |
| The children like their mother. | Watoto wanapenda mama yao. |
| You (pl) don't like the giraffe? | Je hampendi twiga? |
| We don't like big spiders | Hatupendi buibui wakubwa. |
| to be afraid of | kuogopa |
| I am afraid of | Ninaogopa |
| I am afraid of spiders. | Ninaogopa buibui. |
| you are afraid | unaogopa |
| You are afraid of lions. | Unaogopa simba. |
| He/she is afraid | Anaogopa |
| He is afraid of crocodiles. | Anaogopa mamba. |
| We are afraid | Tunaogopa |
| We are afraid of big cockroaches. | Tunaogopa mende wakubwa. |
| You (pl) are afraid | Mnaogopa |
| Are you (pl) afraid of sharp dogs? | Je mnaogopa mbwa wakali? |
| They are afraid | Wanaogopa |
| They are afraid of their teacher. | Wanaogopa mwalimu wao. |
| Are you (pl) afraid of nurses? | Mnaogopa wauguzi? |
| I am afraid of tall women. | Ninaogopa wanawake warefu. |
| I am afraid of this man. | Ninaogopa mwanaume huyu. |
| The elephant is afraid of the mouse. | Tembo anaogopa panya. |
| The mouse is afraid of the cat. | Panya anaogopa paka. |
| The cat is afraid of the dog. | Paka anaogopa mbwa. |
| The dog is afraid of the farmer. | Mbwa anaogopa mkulima . |
| The farmer is afraid of lions | Mkulima anaogopa simba. |
| The crocodile is not afraid of the mouse. | Mamba haogopi panya |
| but | lakini |
| The women are afraid of mice but I am not . | Wanawake wanaogopa panya lakini mimi siogopi. |
| you (pl) are not afraid* | Hamwogopi * Did you notice the additional 'w'?
This is the only exception.
HamWogopi |
| Aren't you (pl) afraid of crocodiles? | Je hamwogopi mamba? |
| We are not afraid of dogs. | Hatuogopi mbwa. |
| The dog is not afraid of children. | Mbwa haogopi watoto. |
| The children are not afraid of the dog. | Watoto hawaogopi mbwa. |
| My sister is afraid of tall people. | Dada yangu anaogopa watu warefu. |