| engineer | mhandisi |
| engineers | wahandisi |
| and | na |
| a farmer | mkulima |
| an engineer and a farmer | mhandisi na mkulima |
| farmers and engineers | wakulima na wahandisi |
| a fisherman | mvuvi |
| farmers are not fishermen | wakulima si wavuvi |
| nurse | muuguzi |
| child | mtoto |
| the nurse and the child | muuguzi na mtoto |
| person | mtu |
| people | watu |
| children are people | watoto ni watu |
| the nurses | wauguzi |
| girl | msichana |
| girls are children | wasichana ni watoto |
| parent | mzazi |
| parents | wazazi |
| parents and children | wazazi na watoto |
| traveler | msafiri |
| the traveler and the girl | msafiri na msichana |
| a cook | mpishi |
| the cook is a man | mpishi ni mwanaume |
| The girls are students. | Wasichana ni wanafunzi. |
| The traveler is a teacher. | Msafiri ni mwalimu. |
| a guest | mgeni |
| the cooks and the guests | wapishi na wageni |
| I am a girl. | Mimi ni msichana. |
| We are girls. | Sisi ni wasichana. |
| I am a cook. | Mimi ni mpishi. |
| You are an engineer. | Wewe ni mhandisi. |
| I am a farmer and you are an engineer. | Mimi ni mkulima na wewe ni mhandisi. |
| Are they cooks? | Wao ni wapishi? |
| No, they are not cooks, they are nurses. | Hapana, wao si wapishi, wao ni wauguzi. |
| We are guests. | Sisi ni wageni. |
| The people are guests. | Watu ni wageni. |
| The guests are Africans. | Wageni ni waafrika. |
| The child is a student. | Mtoto ni mwanafunzi. |
| The traveler is a guest. | Msafiri ni mgeni. |
| The travelers are men. | Wasafiri ni wanaume. |
| Are we travelers? | Sisi ni wasafiri? |