Swahili for Beginners

QuestionAnswer
(is ?) (optional question particle to introduce a yes/no question)
je ?
(to) home
nyumbani
(verb infix for future tense)
ta
(verb infix for when/if clause)
ki
A baboon is not a buffalo.
Nyani si nyati.
a bad cook
mpishi mbaya
a big bottle of iced tea
chupa kubwa ya chai ya barafu
a big child
mtoto mkubwa
a big harbour / big harbours
bandari kubwa
a big table
meza kubwa
a bottle
chupa
a bottle of iced tea
chupa ya chai ya barafu
a bottle of juice
chupa ya juisi
A cockroach is small.
Mende ni mdogo.
a cook
mpishi
a farmer
mkulima
a fisherman
mvuvi
a good friend of mine
rafiki yangu mzuri
a good person (morally upright/kind)
mtu mwema
a good soap for clothes
sabuni nzuri kwa nguo
a guest
mgeni
a letter
barua
A lion is a big cat.
Simba ni paka mkubwa.
a long pencil and a short pencil
kalamu ndefu na kalamu fupi
a long road / long roads
barabara ndefu
a lot of water
maji mengi
a nice cow
ng'ombe mzuri
a nice house
nyumba nzuri
a nice woman
mwanamke mzuri
a pen and paper
kalamu na karatasi
a port on the Pacific Ocean / a Pacific Ocean port
bandari ya bahari ya Pasifiki
a pretty girl
msichana mzuri
a sea animal
mnyama wa bahari
A seagull is a bird.
Shakwe ni ndege.
a small bottle of medecine
chupa ndogo ya dawa
a small cat and a big lion
paka mdogo na simba mkubwa
a small country / small countries
nchi ndogo
a small spider and a big spider
buibui mdogo na buibui mkubwa
a special soap
sabuni maalum
a special soap for children's clothes
sabuni maalum kwa nguo za watoto
a tall man
mwanaume mrefu
above / on top of
juu ya
above the sea
juu ya bahari
African (person)
mwafrika
African elephants are not small.
Tembo wa Afrika si wadogo.
Africans
waafrika
again
tena
also / too
pia
am / is / are
ni
am not / are not / is not
si
an engineer and a farmer
mhandisi na mkulima
and
na
animal
mnyama
M/Wa noun class
animals
wanyama
M/Wa noun class - pl
Are they cooks?
Wao ni wapishi?
Are they going to the harbour?
Je wanaenda bandarini?
Are they men?
Wao ni wanaume?
Are we friends again?
Sisi ni rafiki tena?
Are we travelers?
Sisi ni wasafiri?
Are you (pl) afraid of nurses?
Mnaogopa wauguzi?
Are you (pl) afraid of sharp dogs?
Je mnaogopa mbwa wakali?
Are you (pl) going to your country?
Je mnaenda kwenye nchi yenu?
Are you a student?
Wewe ni mwanafunzi?
Are you an African?
Wewe ni mwafrika?
Are you Asha?
Wewe ni Asha?
Are you fishermen?
Je ninyi ni wavuvi?
Are you jumping?
Unaruka?
Are you not going to the sea?
Je huendi baharini?
Aren't you (pl) afraid of crocodiles?
Je hamwogopi mamba?
baboon
nyani
bad (M/Wa Class sg)
mbaya
bad cooks
wapishi wabaya
banana
ndizi
beautiful / nice /good / pretty (M/Wa Class sg)
mzuri
beef
nyama ya ng'ombe
beef with bell pepper
nyama ya ng'ombe na pilipili hoho.
bell pepper / Paprika
pilipili hoho
better than / nicer than
mzuri zaidi kuliko
big (M/Wa class sg)
mkubwa
big children
watoto wakubwa
big clothes and small clothes
nguo kubwa na nguo ndogo
big elephants
tembo wakubwa
big pots
sufuria kubwa
bigger than
mkubwa zaidi kuliko
bird(s) / airplanes
ndege
Birds are beautiful.
Ndege ni wazuri.
Birds don't like cats.
Ndege hawapendi paka.
Birds fly.
Ndege wanaruka.
Birds like fish.
Ndege wanapenda samaki.
brother
kaka
Brother, are you going now?
Kaka, je unaenda sasa?
buffalo
nyati
but
lakini
but
lakini
butter
siagi
Bye.
Kwa heri.
cat(s)
paka
cats and dogs
paka na mbwa
cats and mice
paka na panya
chalk
chaki
chalk or pen
chaki au kalamu
chicken
kuku
chicken (meat)
nyama ya kuku
child
mtoto
Children are not big people.
Watoto si watu wakubwa.
children are people
watoto ni watu
Children don't drink coffee.
Watoto hawanywi kahawa.
clean / pure / I am fine.
Safi.
clothes
nguo
cockroach
mende
Cockroaches are bad.
Mende ni wabaya.
coconut
nazi
Coconuts are not vegetables.
Nazi si mboga.
coffee
kahawa
coffee or tea?
kahawa au chai?
Come ! *
Njoo !
We didn't have this verb yet. The imperative is irregular. Just learn it like this for now.
Come to my place !
Njoo kwangu !
computer
kompyuta
Cool. / Calm. / I am fine.
Poa.
coral reef
miamba ya matumbawe
M/Mi class noun -pl

We will treat that later

country
nchi
true N/N noun class
country roads
barabara za nchi
cow / ox
ng'ombe
cow butter
Siagi ya ng’ombe
crab
kaa
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

= kururu

N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

crocodile(s)
mamba
Crocodiles are big and bad.
Mamba ni wakubwa na wabaya.
Dad drinks tea in the morning.
Baba anakunywa chai asubuhi.
Do you (pl) drink ice tea?
Mnakunywa chai ya barafu ?
Do you (pl) eat bananas?
Mnakula ndizi ?
Do you (pl) have cockroaches?
Je mna mende ?
Do you (pl) like those people?
Mnapenda watu wale?
Do you drink juice ?
Unakunywa juisi ?
Do you have a dog?
Je una mbwa?
Do you like cats?
Je unapenda paka?
Do you like tea and coffee?
Je unapenda chai na kahawa ?
dog(s)
mbwa
Dogs don't like cats.
Mbwa hawapendi paka.
dolphin
pomboo
Dolphins are not fish.
Pomboo si samaki.
Dolphins are very gentle.
Pomboo ni mpole sana.
Dolphins live in the sea.
Pomboo wanaishi baharini.
Dolphins swim in the sea and jump.
Pomboo wanaogelea baharini na wanaruka.
Don't you like cockroaches?
Je hampendi mende ?
donkey
punda
elephant
tembo
elephants
tembo
engineer
mhandisi
engineers
wahandisi
every
kila
every morning
kila asubuhi
everything
kila kitu
farmers and engineers
wakulima na wahandisi
farmers are not fishermen
wakulima si wavuvi
father
baba
Fine / I am fine./ Everything is fine.
Nzuri.
Fish
Samaki
Fishes are beautiful.
Samaki ni wazuri.
Fishes don't like birds.
Samaki hawapendi ndege.
for
kwa
friend
rafiki
from / out of
kutoka kwa
gazelle / deer
paa
gentle
mpole
giraffe(s)
twiga
girl
msichana
girls are children
wasichana ni watoto
goat
mbuzi
goat meat
nyama ya mbuzi
Good morning
Asubuhi njema
good people (morally upright / kind)
watu wema
Hallo
Hujambo
harbour
bandari
true N/N noun class
he / she
yeye
he /she doesn't go
haendi
He /she likes
Anapenda
he doesn't drink
hanywi
he doesn't eat
hali
he drinks
anakunywa
he drinks
anakunywa
he eats
anakula
he has / she has
ana
He is a boy.
Yeye ni mvulana.
He is a fisherman.
Yeye ni mvuvi.
he is afraid
anaogopa
He is afraid of crocodiles.
Anaogopa mamba.
He is going to the harbour.
Anaenda bandarini
He is not going to school. (never ever)
Haendi shule.
He likes giraffes.
Anapenda twiga.
He loves seagulls.
Anapenda shakwe.
he will drink
atakunywa
he/she doesn't have
hana
he/she doesn't like
hapendi
he/she goes
anaenda
He/she is afraid
Anaogopa
Her bird is very beautiful.
Ndege wake ni mzuri sana.
her cat(s)
paka wake
her mother
mama yake
her sisters
dada zake
Her sisters are nice.
Dada zake ni wazuri.
= His sisters are nice.
His cockroaches are worse than your (pl) spiders.
Mende wake ni wabaya zaidi kuliko buibui wenu.
His father is severe.
Baba yake ni mkali.
His friend is more trustworthy than him.
Rafiki yake ni mwaminifu zaidi kuliko yeye.
His parents are so nice.
Wazazi wake ni wazuri sana.
horse
farasi
house
nyumba
true N/N noun class
How is home? ( How is the family? )
Habari za nyumbani ?
How is school?
Habari za shule?
How is the morning ? / How are you doing ? / What's up? / (lit. the news (sg) of the morning)
Habari ya asubuhi ?
How is the morning ? / How are you doing ? / What's up? / (lit. the news (pl) of the morning)
Habari za asubuhi ?
How is work?
Habari za kazi?
How is/was the trip?
Habari za safari ?
hyrax*
pimbi
* You don't know what I am ? Look at the lecture file and you ll see my photo. I am sooooo cute.
I
mimi
I am a cat. I am not a dog.
Mimi ni paka. Mimi si mbwa.
I am a cook.
Mimi ni mpishi.
I am a farmer and you are an engineer.
Mimi ni mkulima na wewe ni mhandisi.
I am a girl.
Mimi ni msichana.
I am a man.
Mimi ni mwanaume.
I am afraid of
Ninaogopa
I am afraid of spiders.
Ninaogopa buibui.
I am afraid of tall women.
Ninaogopa wanawake warefu.
I am afraid of this man.
Ninaogopa mwanaume huyu.
I am Emilian.
Mimi ni Emilian.
I am not a fish.
Mimi si samaki.
I am not going to school (I will go tomorrow)
Siendi shuleni.
I am not short.
Mimi si mfupi.
I am not.
Si
I don't drink
Sinywi
I don't drink coffee with sugar.
Sinywi kahawa na sukari.
I don't eat
Sili
I don't eat pepper.
Sili pilipili.
I don't eat sugar.
Sili sukari.
I don't go
siendi
I don't have
sina
I don't have children.
Sina watoto.
I don't like
Sipendi
I don't like cockroaches.
Sipendi mende.
I don't like fish.
Sipendi samaki
I don't like you.
Sipendi wewe.
I don't live in the sea.
Siishi baharini.
I drink
ninakunywa
I drink coffee every morning.
Ninakunywa kahawa kila asubuhi.
I eat
Ninakula
I eat meat.
Ninakula nyama.
I go
ninaenda
I go home.
Ninaenda nyumbani.
I have
Nina
I have a cat. I don't have dogs.
Nina paka. Sina mbwa.
I have children.
Nina watoto.
I like honest people.
Ninapenda watu waaminifu.
I like that donkey.
Ninapenda punda yule.
I like the hyrax a lot.
Ninapenda pimbi sana.
I like to swim.
Ninapenda kuogelea.
I like your letter.
Ninapenda barua yako.
I like your trousers.
Ninapenda suruali yako.
I live at home.
Mimi ninaishi nyumbani.
I live in a house.
Mimi ninaishi katika nyumba.
I love children.
Ninapenda watoto.
I love coffee.
Ninapenda kahawa.
I love you.
Ninapenda wewe.
I love/like
ninapenda
I swim in the sea.
Ninaogelea baharini.
I walk over the sea sand.
Ninatembea juu ya mchanga wa bahari.
I will be a cat.
Nitakuwa paka.
I will have a cat.
Nitakuwa na paka.
I will swim
nitaogelea
ice
barafu
iced coffee
kahawa ya barafu
iced tea
chai ya barafu
If he hunts a shark, he will eat this shark.
Akiwinda papa, atakula papa huyu.
if he is afraid / when he is afraid
akiogopa
If I eat fish, I will drink water.
Nikila samaki, nitakunywa maji.
If I eat I, I will drink, too.
Nikila, nitakunywa pia.
If I eat vegetables, I will get big.
Nikila mboga, nitakuwa mkubwa.
If people eat lobsters, they also like oysters.
Watu wakikula kambakoche, pia watapenda chaza.
If they like lobster, they will eat everything.
Wakipenda kambakoche, watakula kila kitu.
if you are afraid
ukiogopa
in / inside
katika
Is Asha a good friend of yours?
Je, Asha ni rafiki yako mzuri?
Is Emilian your best friend?
Je Emilian ni rafiki yako mkubwa?
Is this zebra nicer than the donkey?
Je punda milia huyu ni mzuri zaidi kuliko punda?
it doesn't go ( used for N/N sg nouns)
haiendi
M/Wa sg : a-na-enda e.g. Mpishi anaenda. - The cook goes

M/Wa sg neg. : ha-end-i e.g. Mpishi haendi. - The cook doesn't go

N/N sg : i-na-enda e.g. Barabara inaenda. - The road goes

N/N sg neg. : ha-i-end-i e.g. Barabara haiendi. - The road doesn't go

it goes (for N/N sg words)
inaenda
juice
juisi
juice with ice
juisi na barafu
Kenia is our beautiful country.
Kenya ni nchi yetu nzuri.
leopard
chui
light
taa
lion(s)
simba
Lions are big.
Simba ni wakubwa.
lobster
kambakoche
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

man
mwanaume
May I come in? / Knock knock
Hodi hodi
May I come inside (the house) ?
Hodi nyumbani ?
meat
nyama
medecine
dawa
men
wanaume
men and woman
wanaume na wanawake
Mice are small.
Panya ni wadogo.
more
zaidi
morning
asubuhi
true N/N noun class
morning
asubuhi
mother
mama
mouse /mice
panya
Mozambique
Msumbiji
Mum doesn't have a nurse.
Mama hana muuguzi.
Mum doesn't like my friends.
Mama hapendi rafiki zangu.
Mum likes her kids.
Mama anapenda watoto wake.
my best friend
rafiki yangu mkubwa
My bird and the bird of your sister
Ndege wangu na ndege wa dada yako.
my brother and my cat
kaka yangu na paka wangu
my brothers
kaka zangu
My cat doesn't like water.
Paka wangu hapendi maji.
My cat doesn't swim.
Paka wangu haogelei.
My cat is afraid of water.
Paka wangu anaogopa maji.
My cat is my friend.
Paka wangu ni rafiki yangu.
my cat(s)
paka wangu
My computer is nice.
Kompyuta yangu ni nzuri.
my country
nchi yangu
My crocodiles are bigger than yours.*
Mamba wangu ni wakubwa zaidi kuliko wako.
*How do we know that there are crocodileS and not just one for each of us? Wangu and Wake don't tell us anything about the number, but there is Wakubwa in the sentence which is definitely plural. Had we each only one crocodile it should be Mkubwa.
My friend is nicer than yours.
Rafiki yangu ni mzuri zaidi kuliko yako.
My friend is tall.
Rafiki yangu ni mrefu.
My guests don't like spiders.
Wageni wangu hawapendi buibui.
my mother
mama yangu
my nurse
muuguzi wangu
My sister is afraid of tall people.
Dada yangu anaogopa watu warefu.
near / in / at / on
kwenye
news
habari
nice children
watoto wazuri
nice cows
ng'ombe wazuri
nices clothes
nguo nzuri
no
hapana
No, I am a teacher.
Hapana, mimi ni mwalimu.
No, I am not Asha.
Hapana, mimi si Asha.
No, I am not jumping.
Hapana, siruki.
No, I don't go to the sea today.
Hapana, siendi baharini leo.
No, they are not cooks, they are nurses.
Hapana, wao si wapishi, wao ni wauguzi.
No, they are not men.
Hapana, wao si wanaume.
No, we are not going to our country now.
Hapana, hatuendi kwenye nchi yetu sasa,
now
sasa
nurse
muuguzi
octopus
pweza
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

or
au
Our countries are countries of farmers.
Nchi zetu ni nchi za wakulima.
Our country is a country of farmers.
Nchi yetu ni nchi ya wakulima.
Our country is beautiful.
Nchi yetu ni nzuri.
Our dog and our cat are friends.
Mbwa wetu na paka wetu ni rafiki.
our father
baba yetu
our fathers and mothers
baba na mama zetu
our guests
wageni wetu
our mother
mama yetu
our mothers
mama zetu
our teacher
mwalimu wetu
over the sea sand
juu ya mchanga wa bahari
oyster
chaza
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

paper
karatasi
paper for letters
karatasi kwa barua
parent
mzazi
parents
wazazi
parents and children
wazazi na watoto
Peaceful / I am fine. / Everything is peaceful.
Salama.
pen / pencil
kalamu
people
watu
People hunt whales.
Watu wanawinda nyangumi.
People like to eat lobsters.
Watu wanapenda kula kambakoche.
People like to eat oysters.
Watu wanapenda kula chaza.
pepper
pilipili
person
mtu
pig
nguruwe
plates
sahani
pleasant / nice (M/Wa)
mwema
pleasant /nice (N/N)
njema
porc
nyama ya nguruwe
pots / pans
sufuria
pots and plates
sufuria na sahani
pufferfish
bunju
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

road
barabara
true N/N noun class
rock
mwamba
M/Mi class

its plural is 'miamba' = rocks

as we have seen in 'miamba ya matumbawe' = rocks of corals = coral reef

salt
chumvi
sand
mchanga
M/Mi class noun

(We will discuss this later but let me give one secret away... in sg it uses 'wa' for of - mchanga wa bahari = sea sand)

school
shule
true N/N noun class
sea / ocean
bahari
true N/N noun class
sea animals
wanyama wa bahari
sea sand
mchanga wa bahari
sea snail
konokono wa baharini
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

Sea snails are snails which live in the sea.
Konokono wa baharini ni konokono ambao wanaishi baharini.
seagull
shakwe
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

seahorse
mbuzi wa bahari
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

= farasi wa bahari

N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

Sharks don't drink coffee.
Papa hawanywi kahawa.
Sharks eat littie fishes.
Papa wanakula samaki wadogo.
sharp / fierce (N/N)
kali
sharp / fierce / severe (M/Wa class sg)
mkali
Sharp dogs are not nice.
Mbwa wakali si wazuri.
She doesn't like mice.
Hapendi panya.
She has problems.*
Ana matata.
*btw I only allowed this intruder for the sake of Lion King vocabulary :XD We didn't study the right word class yet.
She is a woman.
Yeye ni mwanamke.
sheep
kondoo
short (M/Wa Class sg)
mfupi
sister
dada
small (M/Wa Class sg)
mdogo
smaller than
mdogo zaidi kuliko
snail
konokono
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

soap
sabuni
socks
soksi
Socks and trousers are clothes.
Soksi na suruali ni nguo.
sorry
samahani
special
maalum
spider(s)
buibui
spiders and cockroaches
buibui na mende
squid
ngisi
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

student
mwanafunzi
students
wanafunzi
Students are not teachers.
Wanafunzi si walimu.
sugar
sukari
sugar and salt
sukari na chumvi
table
meza
tall / long (M/Wa Class sg)
mrefu
tall men
wanaume warefu
Tanzania is the land of the farmer.
Tanzania ni nchi ya mkulima.
tea
chai
teacher
mwalimu
teachers
walimu
than
kuliko
thank you
asante
thank you very much
asante sana
that (M/Wa)
yule
that (M/Wa)
yule
that (N/N)
ile
that banana and those bananas
ndizi ile na ndizi zile
that butter
siagi ile
that cow
ng'ombe yule
that cow and that butter
ng'ombe yule na siagi ile
that crocodile
mamba yule
That farmer has a sharp dog.
Mkulima yule ana mbwa mkali.
That fisherman doesn't have fishes.
Mvuvi yule hana samaki.
that goat
mbuzi yule
That horse is bigger than the donkey.
Farasi yule ni mkubwa zaidi kuliko punda.
that man
mwanaume yule
That man is my father.
Mwanaume yule ni baba yangu.
That nurse is honest.
Muuguzi yule ni mwaminifu.
The Africans are students.
Waafrika ni wanafunzi.
The Atlantic is a large ocean.
Atlantiki ni bahari kubwa.
The baboon eats a banana.
Nyani anakula ndizi.
The best friend of the elephant is the mouse.
Rafiki mkubwa wa tembo ni panya.
The big elephant's best friend is the little mouse.
Rafiki mkubwa wa tembo mkubwa ni panya mdogo.
The biggest country of Africa is Algeria and the smallest country are the Seychelles.
Nchi kubwa zaidi ya Afrika ni Algeria na nchi ndogo zaidi ni Shelisheli.
the biggest harbour in the country of Mozambique
bandari kubwa zaidi nchini Msumbiji
the biggest port of the country
bandari kubwa zaidi ya nchi
The boy's dog is big.
Mbwa wa mvulana ni mkubwa.
The boy's dogs are big.
Mbwa wa mvulana ni wakubwa.
The boys are bad.
Wavulana ni wabaya.
The boys are small.
Wavulana ni wadogo.
the brother of my mother
kaka wa mama yangu
The cat is afraid of the dog.
Paka anaogopa mbwa.
The cat loves mice.
Paka anapenda panya.
the cats and their mouse / mice*
paka na panya wao
* paka is plural because of wao (their)

panya can be either sg or pl

The child is a student.
Mtoto ni mwanafunzi.
the child's parents / the parents of the child
wazazi wa mtoto
The children are nice.
Watoto ni wazuri.
The children are not afraid of the dog.
Watoto hawaogopi mbwa.
The children eat coconuts.
Watoto wanakula nazi.
The children like their mother.
Watoto wanapenda mama yao.
the children of our cook
watoto wa mpishi wetu
the cook is a man
mpishi ni mwanaume
The cook is a tall person.
Mpishi ni mtu mrefu.
The cook likes to go to the sea.
Mpishi anapenda kwenda baharini.
The cook's cat(s) / the cat(s) of the cook
paka wa mpishi
the cooks and the guests
wapishi na wageni
The crab is walking on the rock.
Kaa anatembea kwenye mwamba.
The crab walks in the sea sand.
Kaa anatembea kwenye mchanga wa bahari.
The crocodile is more fierce than the fish.
Mamba ni mkali zaidi kuliko samaki.
The crocodile is not afraid of the mouse.
Mamba haogopi panya
The dog is afraid of the farmer.
Mbwa anaogopa mkulima .
The dog is not afraid of children.
Mbwa haogopi watoto.
The dolphin jumps out of the water.
Pomboo anaruka nje ya maji.
The elephant is afraid of the mouse.
Tembo anaogopa panya.
The elephant is big.
Tembo ni mkubwa.
The elephant is not afraid of crocodiles.
Tembo haogopi mamba.
The engineer is a tall man.
Mhandisi ni mwanaume mrefu.
The farmer is afraid of lions
Mkulima anaogopa simba.
The farmer is taller than the fisherman.
Mkulima ni mrefu zaidi kuliko mvuvi.
The farmer likes his dog.
Mkulima anapenda mbwa wake.
The farmer's dogs are fierce.
Mbwa wa mkulima ni wakali.
the farmers and their dog(s)
wakulima na mbwa wao
the father of their friend
baba wa rafiki yao
The fish swims in the sea.
Samaki anaogelea baharini.
the fisherman and his fish
mvuvi na samaki wake
The fisherman doesn't drink juice.
Mvuvi hanywi juisi.
The fisherman likes fish.
Mvuvi anapenda samaki.
The fishermen go to the sea every morning.
Wavuvi wanaenda baharini kila asubuhi.
The fishermen have fishes.
Wavuvi wana samaki.
The fishes swim in the sea.
Samaki wanaogelea baharini.
the friend of their father
rafiki wa baba yao
the friends of your sister
rafiki wa dada yako
The giraffe is tall.
Twiga ni mrefu.
The giraffe is taller than the lion.
Twiga ni mrefu zaidi kuliko simba.
The giraffes are tall.
Twiga ni warefu.
The girl has a bird.
Msichana ana ndege.
The girl is small.
Msichana ni mdogo.
The girl's bird is beautiful.
ndege wa msichana ni mzuri.
The girls are students.
Wasichana ni wanafunzi.
The goat doesn't eat meat.
Mbuzi hali nyama.
The goat eats salt.
Mbuzi anakula chumvi.
The guests are Africans.
Wageni ni waafrika.
The guests have children.
Wageni wana watoto.
The guests of the engineer are African people.
Wageni wa mhandisi ni watu wa Afrika.
The house has light.
Nyumba ina taa.
The lobster is fierce.
Kambakoche ni mkali.
The lobster lives under the sea.
Kambakoche anaishi chini ya bahari.
The lobster walks on the sand.
Kambakoche anatembea juu ya mchanga.
The long table is nice.
Meza ndefu ni nzuri.
The medecine is bad.
Dawa ni mbaya.
The men are teachers.
Wanaume ni walimu.
the mouse /mice of the cat(s)
panya wa paka
The mouse is afraid of the cat.
Panya anaogopa paka.
the nurse and the child
muuguzi na mtoto
The nurse has medicine.
Muuguzi ana dawa.
the nurses
wauguzi
The nurses have soap.
Wauguzi wana sabuni.
The octopus is a big animal.
Pweza ni mnyama mkubwa.
The octopus is swimming under the water.
Pweza anaogelea chini ya maji.
Maji is from the Ji/Ma noun class.

Nothing to worry about for now

The octopus is very big.
Pweza ni mkubwa sana.
The octopus lives in the sea.
Pweza anaishi baharini.
The people are afraid and jump.
Watu wanaogopa na wanaruka.
The people are guests.
Watu ni wageni.
The people eat sugar, but they don't eat vegetables.
Watu wanakula sukari, lakini hawali mboga.
The pufferfish is a fish.
Bunju ni samaki.
The sea snail has a house.
Konokono wa baharini ana nyumba.
The sea snail walks on the the sand at the bottom of the sea.
Konokono wa baharini anatembea juu ya mchanga chini ya bahari.
The seagull flies over the sea.
Shakwe anaruka juu ya bahari.
The seagull walks over the sand.
Shakwe anatembea juu ya mchanga.
The seahorse is a small animal.
Mbuzi wa bahari ni mnyama mdogo.
The seahorse is very beautiful.
Mbuzi wa bahari ni mzuri sana.
the seaport
bandari ya bahari
the Seychelles
Shelisheli
The short nurse is African.
Muuguzi mfupi ni mwafrika.
The short travelers are guests.
Wasafiri wafupi ni wageni.
The sister of my mother is beautiful.
Dada wa mama yangu ni mzuri.
The squid is swimming near the coral reef.
Ngisi anaogelea kwenye miamba ya matumbawe.
the street goes
barabara inaenda
The street goes home.
Barabara inaenda nyumbani.
The streets are going to the harbour.
Barabara zinaenda bandarini.
The streets are not going to the seaport.
Barabara haziendi kwenye bandari ya bahari.
the streets go
barabara zinaenda
The streets go to the sea
Barabara zinaenda baharini
The student's teacher is tall.
Mwalimu wa mwanafunzi ni mrefu.
The tall Africans are engineers.
Waafrika warefu ni wahandisi.
The teacher's cooks are bad.
Wapishi wa mwalimu ni wabaya.
the teacher's students / the students of the teacher
wanafunzi wa mwalimu
The teachers are Africans.
Walimu ni waafrika.
the traveler and the girl
msafiri na msichana
The traveler has a dog.
Msafiri ana mbwa.
The traveler is a guest.
Msafiri ni mgeni.
The traveler is a teacher.
Msafiri ni mwalimu.
The travelers are men.
Wasafiri ni wanaume.
The travelers are worse than my guests.
Wasafiri ni wabaya zaidi kuliko wageni wangu.
The trousers are very big.
Suruali ni kubwa sana.
The whale is not a fish.
Nyangumi si samaki.
The woman's nurse is beautiful.
Muuguzi wa mwanamke ni mzuri.
The women are afraid of mice but I am not .
Wanawake wanaogopa panya lakini mimi siogopi.
Their cook is better than ours.
Mpishi wao ni mzuri zaidi kuliko wetu.
their mothers
mama zao
their road
barabara yao
their students
wanafunzi wao
these (M/Wa)
hawa
these (M/Wa)
hawa
these (N/N)
hizi
these bottles
chupa hizi
these bottles and those bottles
chupa hizi na chupa zile
these chickens and those chickens
kuku hawa na kuku wale
These chiefs are dishonest.
Wapishi hawa si waaminifu.
these coconuts
nazi hizi
These cooks are better than ours.
Wapishi hawa ni wazuri zaidi kuliko wapishi wetu.
these cows
ng'ombe hawa
these goats
mbuzi hawa
these goats and these coconuts
mbuzi hawa na nazi hizi
these people
watu hawa
These people are honest, but those people are bad.
Watu hawa ni waaminifu lakini watu wale ni wabaya.
these pigs
nguruwe hawa
these teachers and those students
walimu hawa na wanafunzi wale
they
wao
They are afraid
Wanaogopa
They are afraid of their teacher.
Wanaogopa mwalimu wao.
They are going to the sea.
Wanaenda baharini.
They are tall people..
Wao ni watu warefu.
they don't drink
hawanywi
they don't eat
hawali
They don't eat snails.
Hawali konokono.
they don't go
hawaendi
they don't go ( used for N/N pl nouns)
haziendi
M/Wa pl : wa-na-enda e.g. Wapishi wanaenda. - The cooks go

M/Wa pl neg. : hawa-end-i e.g. Wapishi hawaendi. - The cooks don't go

N/N pl : zi-na-enda e.g. Barabara zinaenda. - The roads go

N/N pl neg. : ha-zi-end-i e.g. Barabara haziendi. - The roads don't go

They don't go every morning.
Hawaendi kila asubuhi.
They don't go to school today.
Hawaendi shuleni leo.
they don't have
hawana
They don't have a brother.
Hawana kaka.
They don't like
Hawapendi
They don't like to eat fish.
Hawapendi kula samaki.
they drink
wanakunywa
They drink tea at home.
Wanakunywa chai nyumbani.
They eat
wanakula
They eat fish.
Wanakula samaki.
they go
wanaenda
they go (for N/N pl words)
zinaenda
They go home.
Wanaenda nyumbani.
They go to the engineer.
Wanaenda kwa mhandisi.
They go to your place.
Wanaenda (nyumbani) kwako.
they have
wana
They like
Wanapenda
They love tall women.
Wanapenda wanawake warefu.
they will walk
watatembea
this (M/Wa)
huyu
this (M/Wa)
huyu
this (N/N)
hii
This African is so tall.
Mwafrika huyu ni mrefu sana.
this banana
ndizi hii
this bottle and these bottles
chupa hii na chupa hizi
This boy doesn't have my dog.
Mvulana huyu hana mbwa wangu.
this chicken and that chicken
kuku huyu na kuku yule
this coconut and that coconut
nazi hii na nazi ile
This engineer doesn't have cooks.
Mhandisi huyu hana wapishi.
this goat
mbuzi huyu
This little gazelle is very gentle.
Paa mdogo huyu ni mpole sana.
this person
mtu huyu
This person is not a teacher.
Mtu huyu si mwalimu.
this pig
nguruwe huyu
this pig and this banana
nguruwe huyu na ndizi hii
This sheep is so nice.
Kondoo huyu ni mzuri sana.
this sister
dada huyu
This traveler is my guest.
Msafiri huyu ni mgeni wangu.
This woman is the girl's mother.
Mwanamke huyu ni mama wa msichana.
those (M/Wa)
wale
those (M/Wa)
wale
those (N/N)
zile
Those buffalos are very fierce.
Nyati wale ni wakali sana.
those chickens
kuku wale
those coconuts
nazi zile
Those farmers don't have cats.
Wakulima wale hawana paka.
Those fishermen and their fishes.
Wavuvi wale na samaki wao.
Those leopards are big.
Chui wale ni wakubwa.
those spiders
buibui wale
Those spiders are so small.
Buibui wale ni wadogo sana.
Those women have beautiful girls.
Wanawake wale wana wasichana wazuri.
to (a person)
kwa
to (a place - used for combos e.g. bandari ya bahari)
kwenye
to (a place) / suffix
ni
to be
kuwa
to be afraid of
kuogopa
to be afraid of
kuogopa
to drink
kunywa
to eat
kula
to eat
kula
to fly / jump
kuruka
to fly / to jump
kuruka
to go
kwenda
to go
kwenda
to go to school / to attend school *
kwenda shule

There is no -ni suffix on the word shule. We are talking of habital going, of being inscribed, of taking classes.

If you add -ni (shuleni) it would be like : Are you going to school right now? Are you going to the school (building)?

to have
kuwa na
to hunt
kuwinda
to hunt
kuwinda
to live
kuishi
to live
kuishi
to love
kupenda
to love /like
kupenda
to swim
kuogelea
to swim
kuogelea
to the engineer
kwa mhandisi
to walk
kutembea
to walk
kutembea
to walk over the sea sand
kutembea juu ya mchanga wa bahari
to your place*
kwako
kwa and possessive = to yours - meaning to your place
today
leo
too / as well
pia
traveler
msafiri
trip / journey
safari
trustworthy / honest
aminifu
under
chini ya
under the sea
chini ya bahari
vegetables
mboga
very
sana
we
sisi
We are afraid
Tunaogopa
We are afraid of big cockroaches.
Tunaogopa mende wakubwa.
We are also walking on the rocks.
Tunatembea pia juu ya mwamba.
We are girls.
Sisi ni wasichana.
We are guests.
Sisi ni wageni.
We are men.
Sisi ni wanaume.
We are not afraid of dogs.
Hatuogopi mbwa.
We are not fishes. We don't live in the sea.
Sisi si samaki. Sisi hatuishi baharini.
We are teachers.
Sisi ni walimu.
We are walking on the sand.
Tunatembea juu ya mchanga.
we don't drink
hatunywi
We don't drink from bottles.
Hatunywi kutoka kwa chupa.
we don't eat
hatuli
We don't eat porc.
Hatuli nyama ya nguruwe.
we don't go
hatuendi
We don't go home now.
Hatuendi nyumbani sasa.
we don't have
hatuna
We don't have problems.*
Hatuna matata.
*at least as long as you don' try to use this word on your own. Remember we didn't learn yet the correspondant word class.
we don't like
hatupendi
We don't like big spiders
Hatupendi buibui wakubwa.
We don't like that man.
Hatupendi mwanaume yule.
we drink
tunakunywa
We drink a bottle of juice.
Tunakunywa chupa ya juisi.
we eat
tunakula
We eat butter every morning.
Tunakula siagi kila asubuhi.
We eat chicken (meat).
Tunakula nyama ya kuku.
we go
tunaenda
We go to our country.
Tunaenda kwenye nchi yetu.
we have
tuna
We have a girl and a boy.
Tuna msichana na mvulana.
We love birds
Tunapenda ndege.
we love/ like
tunapenda
Welcome
Karibu
whale
nyangumi
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

Whales are sea animals.
Nyangumi ni wanyama wa bahari.
Whales are very big.
Nyangumi ni wakubwa sana.
When I am afraid
nikiogopa
When I am big... (when I grow up...)
Nikiwa mkubwa
When the dolphins swim in the sea, they also jump out of the water.
Pomboo wakiogelea baharini, pia wataruka nje ya maji.
when the pufferfish is afraid
bunju akiogopa
When the pufferfish is afraid, he drinks (future) a lot of water and becomes bigger.
Bunju akiogopa, atakunywa maji mengi na kuwa mkubwa zaidi.
When the seagulls fly over the sea they will hunt for fish and crabs.
Shakwe wakiruka juu ya bahari, watawinda samaki na kaa.
When the seagulls hunt for crabs, they also hunt for sea snails.
Shakwe wakiwinda kaa, pia watawinda konokono wa baharini.
when we are afraid
tukiogopa
When we go to the sea, we will swim.
Tukienda baharini, tutaogelea.
When you go to the sea, you will walk on the sand.
Ukienda baharini, utatembea juu ya mchanga.
When you swim in the sea, you will be afraid of sharks.
Ukiogelea baharini, utaogopa papa.
which / who (M/Wa- pl)
ambao
which / who (M/Wa- sg)
ambaye
who
nani
Who are you?
Wewe ni nani?
woman
mwanamke
women
wanawake
women and children
wanawake na watoto
work
kazi
yes
ndiyo
Yes, I am an African.
Ndiyo, mimi ni mwafrika.
Yes, I am Asha.
Ndiyo, mimi ni Asha.
Yes, they are going to the harbour as well.
Ndiyo, wanaenda bandarini pia.
you
wewe
you ( pl) don't drink
hamnywi
you (pl)
ninyi
You (pl) and your dogs and your cats.
Ninyi na mbwa wenu na paka wenu.
You (pl) are afraid
Mnaogopa
You (pl) are afraid of crocodiles.
Ninyi mnaogopa mamba.
you (pl) are not afraid*
Hamwogopi
* Did you notice the additional 'w'? This is the only exception. HamWogopi
You (pl) don't drink iced tea in the morning.
Hamnywi chai ya barafu asubuhi.
You (pl) don't eat
hamli
You (pl) don't eat vegetables.
Hamli mboga.
you (pl) don't go
hamwendi
* Did you notice the extra 'w'. HamWendi ?
You (pl) don't go in the morning
Hamwendi asubuhi.
you (pl) don't have
hamna
You (pl) don't have birds.
Hamna ndege.
You (pl) don't like
Hampendi
You (pl) don't like the giraffe?
Je hampendi twiga?
You (pl) drink
mnakunywa
You (pl) eat
mnakula
you (pl) go
mnaenda
You (pl) go to the seaport.
Mnaenda kwenye bandari ya bahari.
you (pl) have
mna
you (pl) love/like
mnapenda
you and your fish(es)
wewe na samaki wako
You are a good friend of mine.
Wewe ni rafiki yangu mzuri.
You are a lion.
Wewe ni simba.
you are afraid
unaogopa
You are afraid of lions.
Unaogopa simba.
You are an engineer.
Wewe ni mhandisi.
You are girls.
Ninyi ni wasichana.
You are my best friend.
Wewe ni rafiki yangu mkubwa.
you don't drink
Hunywi
You don't drink iced coffee.
Hunywi kahawa ya barafu.
you don't eat
huli
You don't eat goat meat.
Huli nyama ya mbuzi.
you don't go
huendi
You don't have an engineer.
Huna mhandisi.
You don't have.
huna
You don't like
hupendi
You don't like the cook.
Hupendi mpishi.
you drink
unakunywa
You eat
Unakula
You eat beef.
Unakula nyama ya ng'ombe.
You go
unaenda
You go to the sea.
Unaenda baharini.
you have
una
You love/like
Unapenda
Your (pl) dog is big.
Mbwa wenu ni mkubwa.
Your (pl) mothers are so honest.
Mama zenu ni waaminifu sana.
Your (pl) sisters are shorter than she.
Dada zenu ni wafupi zaidi kuliko yeye.
Your chalk is short
Chaki yako ni fupi.
Your computer is better than mine.
Kompyuta yako ni nzuri zaidi kuliko kompyuta yangu.
your dog(s)
mbwa wako
your fish and his fish
samaki wako na samaki wake
your houses
nyumba zako
your mother
mama yako
your sisters
dada zako
zebra
punda milia