The lion, the witch and the wardrobe - Swahili

QuestionAnswer
a big housenyumba kubwa
a grey beardndevu za kijivu
a grey disheveled beard close to his eyesndevu za kijivu zilizofadhaika karibu na macho yake
a housekeeper and three maidservantsmfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu
a housekeeper who is called Mrs. Macreadymfanyikazi wa nyumba anayeitwa Bi Macridie
a very big housenyumba kubwa sana
about whay happened to them /about their experiencesjuu ya yaliyowapata wao
air raids /air strikes /plane crashshambulio la ndege
an old man and professormzee na profesa
andna
and he lived in a housena aliishi katika nyumba
attack /assaultshambulio
beardndevu
bigkubwa
bird /airplanendege
bookkitabu
butlakini
but they were almost not involvedlakini karibu hawakuhusika
but they were almost not involved in our storylakini karibu hawakuhusika hadithi yetu
but they were not involvedlakini hawakuhusika
center / middle /in the middlekatikati
chaptersura
childmtoto
childrenwatoto
close /almostkaribu
close tokaribu na
close to his eyeskaribu na macho yake
did he ever go /once he wentaliwahi kwenda
did he ever...aliwahi
duringwakati wa
during the warwakati wa vita
eyesmacho
firstkwanza
first chaptersura ya kwanza
fournne
four childrenwatoto wanne
fromkutoka
greykijivu
grey hairnywele za kijivu
hairnywele
he livedaliishi
He lived in a very big house together with a housekeeper and three maidservants.Aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu.
He lived in a very big house.Aliishi katika nyumba kubwa sana.
He lived together with a housekeeper and three maidservants.Aliishi na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu
he never had /didhakuwahi
He never had a wife and lived in a big house together with a housekeeper called Mrs Macready and three maidservants - Ivy, Margaret and BettyHakuwahi kuwa na mke, na aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba anayeitwa Bi Macridie na mjakazi watatu - Ivy, Margaret na Betty
He never had a wife and lived in a big house.Hakuwahi kuwa na mke na aliishi katika nyumba kubwa.
He never had a wife and lived in a very big house together with a housekeeper and three maidservants.Hakuwahi kuwa na mke na aliishi katika nyumba kubwa sana na mfanyikazi wa nyumba na mjakazi watatu.
He never had a wife.Hakuwahi kuwa na mke.
he never washakuwahi kuwa
he wasalikuwa
he was livingalikuwa akiishi
He was living in the middle of England.Alikuwa akiishi katikati mwa England.
his eyesmacho yake
housenyumba
house keepermfanyikazi wa nyumba
I doninafanya
I don't find /I don't getSipati
I find / getNinapata
I have never.. / I never didSijawahi
I narrateNinasimulia
I never wentSijawahi kwenda
I was confused / I was troubledNilifadhaika
inkatika
in the worldulimwenguni
in a housekatika nyumba
in order to /so thatili
in the middle ofkatikati mwa
in the middle of Englandkatikati mwa England
last night (the night which (-o) passed,)usiku uliopita
last week (the week which (yo) passed)wiki iliyopita
lionsimba
maidsmjakazi
mile(s)maili
mrsbi
Mrs MacreadyBi Macridie
namejina
namesmajina
nightusiku
old manmzee
our storyhadithi yetu
past tense infix- li -
Peter narratesPeter anasimulia
post officeofisi ya posta
professorprofesa
she is calledanaitwa
so that they should not find/get troubleili wasipate shida
so that they should not find/get trouble of air raids.ili wasipate shida ya shambulio la ndege.
story /fairytalehadithi
tenkumi
ten milesmaili kumi
ten miles frommaili kumi kutoka
ten miles from the nearest post officemaili kumi kutoka ofisi ya posta ya karibu
the book narrateskitabu kinasimulia
the closest post officeofisi ya posta ya karibu
the grey hair was dishevelednywele za kijivu zilifadhaika
the grey hair which was dishevelednywele za kijivu zilizofadhaika
the grey hair which was dishevelednywele za kijivu zilizofadhaika
the lion the the witch and the wardrobesimba mchawi na kabati
The professor was an old man with grey hair which was disheveled and a grey disheveled beard close to his eyes.Profesa alikuwa mzee na nywele za kijivu zilizofadhaika na ndevu za kijivu zilizofadhaika karibu na macho yake.
The professor was oldProfesa alikuwa mzee
The professor was old with grey hairProfesa alikuwa mzee na nywele za kijivu
the world /the universeulimwengu
their namesmajina yao
their names weremajina yao yalikuwa
Their names were Peter, Susan, Edmund and Lucy.Majina yao yalikuwa Peter, Susan, Edmund na Lucy.
There werekulikuwa na
There were childrenkulikuwa na watoto
There were four childrenKulikuwa na watoto wanne
There were four children in the world, their names were Peter, Susan, Edmund and Lucy.Kulikuwa na watoto wanne ulimwenguni, majina yao yalikuwa Peter, Susan, Edmund na Lucy.
There were four children in the world.Kulikuwa na watoto wanne ulimwenguni
they find /getwanapata
they passedwalipita
they should not find /getwasipate
they should not find/get troublewasipate shida
they were not involvedhawakuhusika
they were released / dischargedwalitolewa
they were sentwalipelekwa
They were sent to an elder and professor who was living in the middle of England, ten miles from the closest post office.Walipelekwa kwa mzee na profesa ambaye alikuwa akiishi katikati mwa England, maili kumi kutoka ofisi ya posta ya karibu. .
They were sent to an elder and professor who was living in the middle of England.Walipelekwa kwa mzee na profesa ambaye alikuwa akiishi katikati mwa England,
they were sent to an old manwalipelekwa kwa mzee
thishiki
this bookkitabu hiki
This book narrateskitabu hiki kinasimulia
This book tells of their experiences during the war, when they were released from London so that they should not get the problem of air raids.Kitabu hiki kinasimulia juu ya yaliyowapata wakati wa vita, wakati walitolewa London ili wasipate shida ya shambulio la ndege.
three-tatu
three maidservantsmjakazi watatu
time /whenwakati
to /for /bykwa
to an old man/elderkwa mzee
to be calledkuitwa
to be confused /to be troubledkufadhaika
to be involvedkuhusika
to be released /to be discharged /to be given upkutolewa
to be sentkupelekwa
to dokufanya
to ever (have/do) /venture /undertakekuwahi
to find/ get/gain/acquirekupata
to have a wifekuwa na mke
to live /existkuishi
to narrate /tell a storykusimulia
to passkupita
to sendkupeleka
to workkufanya kazi
troubleshida
upon /aboutjuu ya
very /much /excessivesana
very bigkubwa sana
warvita
wardrobe (original translation 'wadi' which seems not a common word)kabati
weekwiki
what happened to themyaliyowapata wao
when they were dischargedwakati walitolewa
which were frustrated / disheveledzilizofadhaika
whoambaye
who/ which is calledanayeitwa
wifemke
witchmchawi
workkazi