Swahili

QuestionAnswer
'smokes' / clouds of smoke (M/Mi)
mioshi
a bad child
mtoto mbaya
a bad famine
Njaa mbaya
a big bag
mfuko mkubwa
a big fire
moto mkubwa
a big shoe
Kiatu kikubwa
a big thief
mwizi mkubwa
a big town
mji mkubwa
a corn farm
Shamba la mahindi
a dirty cup
Kikombe kichafu
a dirty kid
mtoto mchafu
a faithful person
mtu mwaminifu
a few bananas
ndizi chache
a gentle person
mtu mpole
a good child
mtoto mzuri
a good farmer
Mkulima mzuri
a good umbrella
mwavuli mzuri
a great project
mradi mkubwa
a harsh winter (N/N)
baridi kali
a heavy chicken
Kuku mzito
a large paper
karatasi kubwa
a little tree
Mti mdogo
a long chain
mnyororo mrefu
a long meeting
Mkutano mrefu
a long road
barabara ndefu
A long way
Nija ndefu
a narrow room
chumba chembamba
a new ball
mpira mpya
A new picture
Picha mpya
a nice country
Nchi nzuri
a nice game
mchezo mzuri
a nice island
kisiwa kizuri
a nice mat
Mkeka mzuri
a nice plant
Mmea mzuri
a sharp pair of scissors
Mkasi mkali
a shoe (Ki /Vi)
Kiatu
a short way
Nija fupi
a skinny student
Mwanafunzi mwembamba
a smart engineer
mhandisi mwerevu
a tall traveler
msafiri mrefu
a young nurse
Muuguzi mdogo
accident (N/N)
Ajali
adults (whole people)
watu wazima
advice (Ji / Ma)
shauri
advices (Ji / Ma)
Mashauri
Air / athmosphere (N/N)
Hewa
Alcohol (N/N)
pombe
an honest chef
mpishi mwaminifu
answer (Ji / Ma)
jibu
answers (Ji / Ma)
majibu
Are YOU (pl) wiping?
Ninyi mnafuta?
Are you cleaning the stove?
Unasafisha jiko?
Are you dusting?
Unafuta?
Are you trying to switch on your computer?
Unajaribu kuwasha kompyuta yako ?
ashes (Ji / Ma)
majivu
ax (Ji / Ma)
shoka
axes (Ji / Ma)
mashoka
Babies / children
Watoto
baby /child
mtoto
bad
- baya
bad children
watoto wabaya
bad cooks
Wapishi wabaya
bad dreams
ndoto mbaya
bad farmers
Wakulima wabaya
Bad food
Chakula kibaya
Bad luck
Bahati mbaya
bad shoes
viatu vibaya
bad waiters
wahudumu wabaya
bag (M/Mi)
mfuko
baggage (M/Mi)
mzigo
baggages (M/Mi)
mizigo
bags (M/Mi)
mifuko
ball (M/Mi)
mpira
balls (M/Mi)
mipira
banana (N/N)
ndizi
barrel (Ji / Ma)
pipa
barrels (Ji / Ma)
mapipa
beautiful
- zuri
Bed (Ki /Vi)
Kitanda
Bed and mosquito net
kitanda na chandarua
Beds (Ki /Vi)
Vitanda
beds and moskito nets
vitanda na vyandarua
bee (N/N)
Nyuki
Beer (N/N)
Bia
best
Bora
big cities
Miji mikubwa
big doors
milango mikubwa
big houses
Nyumba kubwa
Big thieves
Wezi wakubwa
bird (N/N)
Ndege
blanket (Ji / Ma)
blanketi
blankets (Ji / Ma)
mablanketi
bodies (M/Mi)
miili
body (M/Mi)
Mwili
Book (Ki /Vi)
Kitabu
Books (Ki /Vi)
Vitabu
Books are expensive
vitabu ni ghali
Books are not cheap
Vitabu si rahisi.
Bookstore
Duka la vitabu
Bottle (N/N)
Chupa
boy
mvulana
boys
wavulana
bread (M/Mi)
mkate
breads (M/Mi)
mikate
bridge / staircase (Ji / Ma)
daraja
bridges / staircases (Ji / Ma)
madaraja
Broad ways
Nija pana
Broken chairs
Viti vibovu
business (N/N)
Shughuli
Butter (N/N)
Siagi
camera (N/N)
Kamera
can
kuweza
Can you try to switch your computer on ?
Unaweza kujaribu kuwasha kompyuta yako ?
canal (M/Mi)
mfereji
canals (M/Mi)
mifereji
canoe (M/Mi)
mtumbwi
canoes (M/Mi)
mitumbwi
car (Ji / Ma)
Gari
cars (Ji / Ma)
magari
chain (M/Mi)
mnyororo
chains (M/Mi)
minyororo
chair ( Ki /Vi)
Kiti
chairs ( Ki /Vi)
Viti
chalk (N/N)
Chaki
change/ transformation (Ji / Ma)
badiliko
changes/ transformations (Ji / Ma)
mabadiliko
chicken
kuku
Children cry.
Watoto wanalia.
Children's pineapples
Mananasi ya watoto
Christian church – Church of the Christians
Kanisa la Wakristo
church (Ji / Ma)
kanisa
churches (Ji / Ma)
makanisa
Clean/Good
safi
cloth material (Ki /Vi)
Kitambaa
cloth materials (Ki /Vi)
Vitambaa
clothes (N/N)
Nguo
Coconut (N/N)
Nazi
Coffee (N/N)
Kahawa
cold (ness) (N/N)
Baridi
cold milk
maziwa ya baridi
College (Ki /Vi)
Chuo
Colleges (Ki /Vi)
Vyuo
Complete
kamili
Computer (N/N)
Kompyuta
cook /chief
mpishi
cooking knowledge
Maarifa ya kupika
cooks / chiefs
Wapishi
corn (mais) (Ji / Ma)
mahindi
country (N/N)
nchi
cow /cattle (N/N)
Ng'ombe
craftsman (Ji / Ma)
fundi
craftsmen (Ji / Ma)
mafundi
Cup (Ki /Vi)
Kikombe
Cups (Ki /Vi)
Vikombe
Danger (N/N)
Hatari
delicious food
Chakula kitamu
diagram / sketch / drawing / design (M/Mi)
mchoro
diagrams / drawings (M/Mi)
michoro
Did you try to switch on your computer ?
Umejaribu kuwasha kompyuta yako?
difficult
- gumu
dirty shoes
viatu vichafu
discussion /dialogue / conversation (Ji / Ma)
mazungumzo
Do you like to swim ?
Unapenda kuogelea?
doctor
daktari
doctors (exceptional)
madaktari
door (M/Mi)
mlango
doors (M/Mi)
milango
dreams (N/N)
Ndoto
driver (Ji / Ma)
dereva
drivers (Ji / Ma)
madereva
drum (N/N)
Ngoma
e-mail (N/N)
Barua pepe
Each/Every
kila
Earth / ground (N/N)
Ardhi
Easy/Cheap
Rahisi
egg (Ji / Ma)
yai
eggs (Ji / Ma)
mayai
eight
nane
eighty
themanini
eighty-eight
themanini na nane
eighty-one
themanini na moja
elegant / smart looking
maridadi
eleven
kumi na moja
Emilian is smart (looking)
Emilian ni maridadi
employer (Ji / Ma)
tajiri
employers (Ji / Ma)
matajiri
empty bottles
chupa tupu
engineer
Mhandisi
engineers
wahandisi
environment (Ji / Ma)
mazingira
Equal/Alike
sawa
exam (M/Mi)
mtihani
example (M/Mi)
mfano
examples (M/Mi)
mifano
Examples of teachers and students
Mifano ya walimu na wanafunzi
exams (M/Mi)
mitihani
expensive
ghali
expensive fruits
Matunda ghali
eye (Ji / Ma)
jicho
eyes (Ji / Ma)
macho
faithful / trustworthy / honest
- aminifu
Family (N/N)
Familia
Faridi is washing the pot.
Faridi anaosha sufuria.
Faridi lights the stove.
Faridi anawasha jiko.
Farmer
Mkulima
Farmers
Wakulima
Father is going to a meeting.
Baba anaenda mkutanoni.
few
-chache
field / farm (Ji / Ma)
shamba
fields / farms (Ji / Ma)
mashamba
fifty
hamsini
fifty-five
hamsini na tano
fifty-nine
hamsini na tisa
Fifty-two
hamsini na mbili
Finger (Ki /Vi)
Kidole
Fingers (Ki /Vi)
Vidole
fire (M/Mi)
moto
fires (M/Mi)
mioto
five
tano
flower (Ji / Ma)
ua
flowers (Ji / Ma)
maua
Food (Ki /Vi)
Chakula
Foods (Ki /Vi)
Vyakula
forest (M/Mi)
msitu
forests (M/Mi)
misitu
forty-four
arobaini na nne
forty-two
arobaini na mbili
four
nne
fourty
arobaini
Free/Useless
bure
Friend (N/N)
Rafiki
frontier (M/Mi)
mpaka
frontiers (M/Mi)
Mipaka
game (M/Mi)
mchezo
games (M/Mi)
michezo
garden (N/N)
Bustani
gentle
- pole
gentle students
wanafunzi wapole
gentle teachers
Walimu wapole
Gift (N/N)
zawadi
girl
msichana
girls
wasichana
good children
watoto wazuri
Good examples
Mifano mizuri
good reasons
sababu nzuri
great joy / great happiness
furaha kubwa
Harbor (N/N)
Bandari
Hard bread
mkate mgumu
He does not need to walk.
Hahitaji kutembea.
he is cleaning
anasafisha
He is sleeping
(Yeye) analala
he is talking
anazungumza
He is waking up
(Yeye) anaamka
head (Ki /Vi)
Kichwa
heads (Ki /Vi)
Vichwa
healthy
- zima
heart (M/Mi)
moyo
hearts (M/Mi)
mioyo
heavy
- zito
heavy bodies
miili mizito
heavy farmers
Wakulima wazito
her bags
Mifuko yake
Her balls
mipira yake
Her engineer
Mhandisi wake
her house
nyumba yake
her knives
Visu vyake
her milk
maziwa yake
Her music
Muziki wake
her plant
Mmea wake
Her shoe
Kiatu chake
his luggage
mzigo wake
his /her
-ake
His bread
mkate wake
His cups
Vikombe vyake
his diagrams
michoro yake
his smoke
moshi wake
His spoon
Kijiko chake
His visitors
Wageni wake
hoe (Ji / Ma)
Jembe
hoes (Ji / Ma)
majembe
hot milk
maziwa ya moto
hotel blankets
Mablanketi ya mahoteli
Hour (N/N)
Saa
house (N/N)
Nyumba
huge spoons
Vijiko vikubwa
hundred
mia
hundred thousand
laki
Hunger / famine (N/N)
Njaa
I agree
ninakubali
I am a poor teacher
Mimi ni mwalimu maskini
I am arriving
(Mimi) ninafika
I am coming
Ninakuja
I am cooking fish.
Mimi ninapika samaki.
I am drinking
Ninakunywa
I am driving
ninaendesha
I am eating
Ninakula
I am hunting the chickens.
Ninawinda kuku.
I am not rich
Mimi si tajiri!
I am raising chicken.
Ninafuga kuku.
I am sowing/planting
ninapanda
I am standing.
Ninasimama
I am waiting (ng)
Ninangoja
I am walking
(Mimi) ninatembea
I am washing (hands)
ninanawa
I am wiping
ninafuta
I am wiping the windows.
Ninafuta dirisha.
I begin to read.
Ninaanza kusoma.
I can dance
Ninaweza kucheza.
I can't switch off my computer.
Siwezi kuzima kompyuta yangu.
I clean a room.
Ninasafisha chumba.
I don't like crying.
Sipendi kulia.
I eat again
Ninakula tena.
I like expensive clothes
Ninapenda nguo ghali
I like their island
Ninapenda kisiwa chao.
I love
(Mimi) ninapenda
I love to talk swahili
Ninapenda kuzungumza kiswahili
I need
ninahitaji
I need a friend.
Ninahitaji rafiki.
I need to return
Ninahitaji kurudi.
I need to switch off my computer
Ninahitaji kuzima kompyuta yangu
I stay home.
Ninakaa nyumbani.
I sweep the bathroom with a broom.
Ninafagia bafu na ufagio.
I think
Ninafikiri
I try
ninajaribu
I wash the clothes with soap.
Ninafua nguo na sabuni.
Ice (N/N)
Barafu
insect
mdudu
insects
wadudu
Iron ( for clothes) / pass (football)/ passport (N/N)
Pasi
Is he cleaning with soap?
Anasafisha na sabuni?
Is Mom lighting the fire?
Mama anawasha moto?
island (Ki /Vi)
Kisiwa
islands (Ki /Vi)
Visiwa
Jamila sweeps the bathroom.
Jamila anafagia bafu.
Jamila washes clothes.
Jamila anafua nguo.
Joy (N/N)
Furaha
Juma cleans the bathroom today.
Juma anasafisha bafu leo.
kitchen (Ji / Ma)
Jiko
kitchens (Ji / Ma)
majiko
Knife (Ki /Vi)
Kisu
Knives
Visu
large /big /old
- kubwa
leaf (Ji / Ma)
jani
leaves (Ji / Ma)
majani
leg (M/Mi)
mguu
legs (M/Mi)
miguu
Letter / Mail (N/N)
Barua
Liar
Mwongo
Liars
Waongo
Light (N/N)
Nuru
light (not heavy)
-epesi
Light / lamp / lantern (N/N)
Taa
Locust (N/N)
Nzige
long borders
mipaka mirefu
long / tall / high / deep
- refu
long nails
misumari mirefu
long spears
mikuki mirefu
luck (N/N)
bahati
Machete (N/N)
Panga
man
mwanaume
mango (Ji / Ma)
embe
mango tree (M/Mi)
mwembe
mango trees (M/Mi)
miembe
mangos (Ji / Ma)
maembe
mat (M/Mi)
mkeka
mats (M/Mi)
mikeka
mattress (Ji / Ma)
godoro
mattresses (Ji / Ma)
magodoro
meat (N/N)
Nyama
Medicine (N/N)
Dawa
meeting (M/Mi)
mkutano
meetings (M/Mi)
mikutano
men
wanaume
milk (Ji / Ma)
maziwa
million
milioni
Minute (N/N)
Dakika
mirror (Ki /Vi)
Kioo
mirrors (Ki /Vi)
vioo
Mom likes to clean.
Mama anapenda kusafisha.
Money (N/N)
Pesa
mosque (M/Mi)
msikiti
mosques (M/Mi)
misikiti
mosquito net (Ki / Vi)
chandarua
mud (Ji / Ma)
matope
muzic (M/Mi)
muziki
my
-angu
My advice
Shauri langu
My advices
Mashauri yangu
My ball
Mpira wangu
My barrel
Pipa langu
My barrels
Mapipa yangu
My book
Kitabu changu
My books
Vitabu vyangu
My car
Gari langu
My cars
Magari yangu
My chef
mpishi wangu
My child
Mtoto wangu
My children
Watoto wangu
My cloth material
Kitambaa changu
My cloth materials
Vitambaa vyangu
My clothes
Nguo zangu
my computer
Kompyuta yangu
my dear friend
rafiki yangu mpendwa
my example (M/Mi)
mfano wangu
my examples (M/Mi)
mifano yangu
my family
Familia yangu
My farm
shamba langu
My finger
Kidole changu
My flower
Ua langu
my fruit
Tunda langu
My heart
moyo wangu
my hoe
jembe langu
My house
Nyumba yangu
My houses
Nyumba zangu
my leg (M/Mi)
mguu wangu
my legs (M/Mi)
miguu yangu
My letter
Barua yangu
My mango trees
miembe yangu
My mirror
Kioo changu
My mirrors
Vioo vyangu
my money (pl)
pesa zangu
My mosquito net
Chandarua changu
my nation
taifa langu
My oil (pl)
Mafuta yangu
my parents
Wazazi wangu
My pen
Kalamu yangu
My pens
Kalamu zangu
my salaries (M/Mi)
mishahara yangu
my salary (M/Mi)
mshahara wangu
My shoes
Viatu vyangu
my stone
jiwe langu
my stones
mawe yangu
my umbrella
mwavuli wangu
nail (M/Mi)
msumari
nails (M/Mi)
misumari
name (Ji / Ma)
jina
names (Ji / Ma)
majina
nation (Ji / Ma)
taifa
nations (Ji / Ma)
mataifa
new
- pya
New house
Nyumba mpya
newspaper (Ji / Ma)
gazeti
newspapers (Ji / Ma)
magazeti
nice games
michezo mizuri
nine
tisa
nineteen
kumi na tisa
ninety
tisini
ninety-nine
tisini na tisa
nurse
Muuguzi
nurses
wauguzi
Office (N/N)
Ofisi
oil (Ji / Ma)
mafuta
one
moja
open
Wazi
Opportunity / space (N/N)
Nafasi
orange (Ji / Ma)
chungwa
oranges (Ji / Ma)
machungwa
our
-etu
Our bed
Kitanda chetu
Our border
mpaka wetu
Our borders
Mipaka yetu
Our breads
mikate yetu
Our colleges
Vyuo vyetu
our country
nchi yetu
Our doctor
daktari wetu
our employers
matajiri yetu
Our environment
mazingira yetu
Our farmers
Wakulima wetu
Our food
Chakula chetu
Our hearts
Mioyo yetu
Our mattresses
Magodoro yetu
Our nation
taifa letu
our photos
Picha zetu
our pineapple
Nanasi letu
Our project
Mradi wetu
our shop
duka letu
Our states (provinces)
majimbo yetu
Our town
Mji wetu
pair of scissors (M/Mi)
Mkasi
papaya (Ji / Ma)
papai
papayas (Ji / Ma)
mapapai
paper (N/N)
karatasi
peanuts (N/N)
Njugu
Pen (N/N)
Kalamu
Person
mtu
Persons
Watu
phone (N/N)
Simu
Photo (N/N)
Picha
pineapple (Ji / Ma)
nanasi
pineapples (Ji / Ma)
mananasi
plant (M/Mi)
mmea
plants (M/Mi)
mimea
poor
Maskini
Price (N/N)
Bei
Problem / Difficulty (N/N)
Shida
progress / developement (Ji / Ma)
maendeleo
project (M/Mi)
mradi
projects
miradi
province (Ji / Ma)
jimbo
provinces (Ji / Ma)
majimbo
question (Ji / Ma)
swali
questions (Ji / Ma)
maswali
Rain (N/N)
Mvua
ready
Tayari
Reason (N/N)
Sababu
river (M/Mi)
mto
river stones
Mawe ya mto
rivers (M/Mi)
mito
road (N/N)
barabara
Room (Ki /Vi)
Chumba
Rooms (Ki /Vi)
Vyumba
root (M/Mi)
mzizi
roots (M/Mi)
mizizi
roses (flower of the rose)
Maua ya waridi
rotten
- bovu
Rubbish / trash (N/N)
Takataka
salaries (M/Mi)
mishahara
salary (M/Mi)
mshahara
salt (N/N)
Chumvi
Sauce (M/Mi)
mchuzi
sauces (M/Mi)
michuzi
School (N/N)
Shule
school blankets
Mablanketi ya shule
scissors (pl) (M/Mi)
mikasi
Sea (N/N)
Bahari
seedling (M/Mi)
mche
seedlings (M/Mi)
miche
seven
saba
seven million
milioni saba
seventy
sabini
seventy-four
sabini na nne
seventy-seven
sabini na saba
sharp
- kali
sharp knives
Visu vikali
She is going
Anaenda
She is returning
Anarudi
She is running
(Yeye) anakimbia
she is sweeping
anafagia
She is wiping the table.
Anafuta meza.
she thinks
anafikiri
shoes (Ki /Vi)
Viatu
shop (Ji / Ma)
duka
shops (Ji / Ma)
maduka
short
- fupi
short trees
miti mifupi
six
sita
six hundred
mia sita
sixteen
Kumi na sita
sixty
sitini
sixty-eight
sitini na nane
sixty-six
sitini na sita
slim girls
wasichana wembamba
smart
- erevu
smart students
wanafunzi werevu
smart women
wanawake werevu
smoke (M/Mi)
moshi
Smooth/Soft
Laini
snakes (N/N)
Nyoka
Soap (N/N)
Sabuna
Sock(s) (N/N)
Soksi
spear (M/Mi)
mkuki
spears (M/Mi)
mikuki
Spoon (Ki /Vi)
Kijiko
Spoons (Ki /Vi)
Vijiko
star (N/N)
Nyota
stone (Ji / Ma)
jiwe
stones/ rocks (Ji / Ma)
Mawe
Strength (N/N)
Nguvu
Students' hoes
majembe ya wanafunzi
sugar (N/N)
Sukari
sweet / delicious
- tamu
Sweet bananas
ndizi tamu
sweet dreams
ndoto tamu
sweet mangoes
maembe matamu
Sweet sauce
Mchuzi mtamu
Table (N/N)
Meza
tall trees
miti mirefu
tea (N/N)
Chai
tea leaves
Majani ya chai
teacher
mwalimu
teachers
Walimu
teeth (Ji / Ma)
meno
ten
kumi
ten thousand
elfu kumi
The Americans take coffee.
Wamarekani wanachukua kahawa.
the bagage of the thief is heavy
mzigo wa mwizi ni mzito
The boy is reading a book.
Mvulana anasoma kitabu.
the chief mosque
msikiti mkuu
The child is light.
Mtoto ni mwepesi.
the child of the neighbour (the neighbour’s child)
Mtoto wa jirani
The guests begin to eat.
Wageni wanaanza kula.
the heavy book
Kitabu kizito
The Kenyans clean.
Wakenya wanasafisha.
the kid's balls are small
mipira ya mtoto ni midogo
the legs of the farmer
miguu ya mkulima
the man's game is difficult
mchezo wa mwanaume ni mgumu
The new star (e.g. football star)
Nyota mpya
the parents of the child
wazazi wa mtoto
the salary of the doctor
mshahara wa daktari
The student is standing.
Mwanafunzi anasimama.
The students are sweeping the room.
Wanafunzi wanafagia chumba.
the teacher's examples are good
mifano ya mwalimu ni mizuri
the umbrella of the nurse
mwavuli wa muuguzi
their
-ao
Their beds
Vitanda vyao
Their bodies
miili yao
their churches
makanisa yao
Their clouds of smoke
mioshi yao
Their door
mlango wao
their exams
mitihani yao
their eyes
macho yao
their families
Familia zao
Their fingers
Vidole vyao
Their island
Kisiwa chao
Their kids
Watoto wao
Their meals
Vyakula vyao
Their mosques
misikiti yao
Their nurses
wauguzi wao
Their rivers
Mito yao
their roots
Mizizi yao
their spears
Mikuki yao
their spoons
Vijiko vyao
their teacher
mwalimu wao
Their university
Chuo chao
Their well
Kisima chao
They are coming
Wanakuja
They are dancing
(wao) wanacheza
they are driving
wanaendesha
They are hunting
Wanawinda
They are rich.
Wao ni tajiri.
They are swimming
wanaogelea
they are washing (car/hair)
wanaosha
they arrive / are arriving
(wao) wanafika
They can walk.
Wanaweza kutembea.
they light (fire)
wanawasha
They need to switch off their computers.
Wanahitaji kuzima kompyuta zao.
thief
mwizi
thieves
wezi
thin
- embamba
thirty
thelathini
thirty-three
thelathini na tatu
thousand
elfu
three
tatu
thunder (N/N)
Ngurumo
to advice
kushauri
to agree / accept
kukubali
to answer
Kujibu
to arrange / organize
kupanga
to arrive
kufika
to be born
kuzaliwa
to begin
kuanza
to bring
kuleta
to build
kujenga
to clean
kusafisha
to clean and sweep
Kusafisha na kufagia
to close
kufunga
to come
kuja
to cook
Kupika
to cover
kufunika
to cry
kulia
to do / make
kufanya
to drink
kunywa
to drive
kuendesha
to eat
kula
to enter
kuingia
to extinguish / put off
kuzima
to give (irregular)
kupa
to go
kwenda
to hunt
kuwinda
to keep /raise (only animals)
kufuga
to keep /save
kutunza
to know
kujua
to learn
kujifunza
to lift up / raise
Kuinua
to light /ignite
kuwasha
to like / love
kupenda
to look
kuangalia
to need
kuhitaji
to open
kufungua
to play / to dance
Kucheza
to read
kusoma
to return
kurudi
to run
kukimbia
to send
kutuma
to sit / stay / live
kukaa
to sleep
kulala
to sow /to plant
kupanda
to speak / to say
kusema
to stand / stop
kusimama
to stand and to sit
Kusimama na kukaa
to stop and to stay
Kusimama na kukaa
to sweep
kufagia
to swim
Kuogelea
to take
kuchukua
to talk
kuzungumza
to teach
kufundishi
to think
Kufikiri
to travel
kusafiri
to try
kujaribu
to visit
Kutembelea
to wait (ng)
kungoja
to wait (s) (more frequent)
kusubiri
to wait for
kusubiria
to wake up
Kuamka
to walk
kutembea
to want
kutaka
to wash (body)
kuoga
to wash (car/window / dishes /hair)
kuosha
to wash (clothes)
kufua
to wash (hands/ face e.g. before food)
kunawa
to wipe / erase / dust
kufuta
to write
kuandika
Today's newspaper
Gazeti la leo
Today's newspapers
Magazeti ya leo
Toilet (Ki /Vi)
Choo
Toilets (Ki /Vi)
Vyoo
tooth (Ji / Ma)
jino
town (M/Mi)
mji
towns (M/Mi)
miji
Traveler
Msafiri
Travelers
Wasafiri
tree (M/Mi)
mti
Tree seedling
mche wa mti
tree seedlings ( double pl. each tree has its own seed)
miche ya miti
trees (M/Mi)
miti
Trousers (N/N)
Suruali
trustworthy people
watu waaminifu
twenty
Ishirini
twenty-six
Ishirini na sita
two
mbili
umbrella (M/Mi)
mwavuli
umbrellas (M/Mi)
miavuli
unclean
- chafu
unclean spoons
Vijiko vichafu
uncooked / unripe
- bichi
university
Chuo kikuu
valley (Ji / Ma)
bonde
valleys (Ji / Ma)
mabonde
Vegetable (N/N)
Mboga
Village (Ki /Vi)
Kijiji
Villages (Ki /Vi)
Vijiji
visitor
mgeni
visitors
wageni
Visitors love traveling.
Wageni wanapenda kusafiri.
waiter
mhudumu
waiters / servants
wahudumu
Water well (Ki /Vi)
Kisima
Water wells (Ki /Vi)
Visima
Way (N/N)
Nija
We agree to go.
Tunakubali kwenda.
We are closing.
Tunafunga.
we are coming
Tunakuja
we are cooking
(Sisi) tunapika
we are dancing
(Sisi) tunacheza
We are dusting the room.
Tunafuta chumba.
we are running
(Sisi) tunakimbia
We are saving the avocados.
Tunatunza maparachichi.
we are trying
Tunajaribu
We are visiting
Tunatembelea
we are wiping
tunafuta
We do not drink in the morning.
Hatunywi asubuhi.
We do not think so.
Hatufikiri.
We don't go today.
Hatuendi leo.
We don't need to eat.
Hatuhitaji kula.
We need to travel.
Tunahitaji kusafiri.
We wash clothes.
Tunafua nguo.
wide
- pana
wide beds
Vitanda vipana
wide rivers
Mito mipana
wine (N/N)
Mvinyo
Woman
mwanamke
women
wanawake
Work (N/N)
Kazi
Work knowledge
Maarifa ya kazi
year (M/Mi)
mwaka
years (M/Mi)
miaka
You (pl) accept
mnakubali
you (pl) are doing
(Ninyi) mnafanya
you (pl) are driving
mnaendesha
you (pl) are reading
(Ninyi) mnasoma
You (pl) are sleeping
(Ninyi) mnalala
You (pl) come
mnakuja
you (pl) wash (your body)
mnaoga
you answer
unajibu
You are coming
Unakuja
You are going
Unaenda
You are lighting a big fire.
Unawasha moto mkubwa.
You are reading
(Wewe) unasoma
You are walking
(Wewe) unatembea
you are writing
(wewe) unaandika
you don't have to stand
huhitaji kusimama
you extinguish
unazima
you like
(Wewe) unapenda
You like to swim
Unapenda kuogelea.
young/ small / little
- dogo
your (pl)
-enu
your (pl) books
Vitabu vyenu
your (pl) college
Chuo chenu
your (pl) fires
Mioto yenu
your (pl) mango
embe lenu
your (pl) mango tree
mwembe wenu
your (pl) meeting
Mkutano wenu
your (pl) teachers
Walimu wenu
your (pl) trees
miti yenu
your (pl) umbrellas
miavuli yenu
your (pl) well
Kisima chenu
your (sg)
-ako
your (sg) answer
jibu lako
Your (sg) church
Kanisa lako
your (sg) doors (M/Mi)
milango yako
your (sg) games
michezo yako
Your (sg) people
Watu wako
your (sg) sauce
mchuzi wako
your gift
zawadi yako
your gifts
zawadi zako
Your(sg) door (M/Mi)
mlango wako
Your(sg) mirror
Kioo chako