Swahili

QuestionAnswer
I am arriving(Mimi) ninafika
I love(Mimi) ninapenda
I am walking(Mimi) ninatembea
you (pl) are doing(Ninyi) mnafanya
You (pl) are sleeping(Ninyi) mnalala
you (pl) are reading(Ninyi) mnasoma
we are dancing(Sisi) tunacheza
we are running(Sisi) tunakimbia
we are cooking(Sisi) tunapika
They are dancing(wao) wanacheza
they arrive / are arriving(wao) wanafika
you are writing(wewe) unaandika
you like(Wewe) unapenda
You are reading(Wewe) unasoma
You are walking(Wewe) unatembea
He is waking up(Yeye) anaamka
She is running(Yeye) anakimbia
He is sleeping(Yeye) analala
unclean- chafu
faithful / trustworthy / honest- aminifu
bad- baya
uncooked / unripe- bichi
rotten- bovu
young/ small / little- dogo
thin- embamba
smart- erevu
short- fupi
difficult- gumu
sharp- kali
large /big /old- kubwa
wide- pana
gentle- pole
new- pya
long / tall / high / deep- refu
sweet / delicious- tamu
healthy- zima
heavy- zito
beautiful- zuri
his /her-ake
your (sg)-ako
my-angu
their-ao
few-chache
your (pl)-enu
light (not heavy)-epesi
our-etu
accident (N/N)Ajali
She is goingAnaenda
she is sweepinganafagia
she thinksanafikiri
She is wiping the table.Anafuta meza.
She is returningAnarudi
he is cleaninganasafisha
Is he cleaning with soap?Anasafisha na sabuni?
he is talkinganazungumza
Earth / ground (N/N)Ardhi
fourtyarobaini
forty-twoarobaini na mbili
forty-fourarobaini na nne
Father is going to a meeting.Baba anaenda mkutanoni.
change/ transformation (Ji / Ma)badiliko
Sea (N/N)Bahari
luck (N/N)bahati
Bad luckBahati mbaya
Harbor (N/N)Bandari
road (N/N)barabara
a long roadbarabara ndefu
Ice (N/N)Barafu
cold (ness) (N/N)Baridi
a harsh winter (N/N)baridi kali
Letter / Mail (N/N)Barua
e-mail (N/N)Barua pepe
My letterBarua yangu
Price (N/N)Bei
Beer (N/N)Bia
blanket (Ji / Ma)blanketi
valley (Ji / Ma)bonde
bestBora
Free/Uselessbure
garden (N/N)Bustani
tea (N/N)Chai
chalk (N/N)Chaki
Food (Ki /Vi)Chakula
Our foodChakula chetu
Bad foodChakula kibaya
delicious foodChakula kitamu
mosquito net (Ki / Vi)chandarua
My mosquito netChandarua changu
Toilet (Ki /Vi)Choo
Room (Ki /Vi)Chumba
a narrow roomchumba chembamba
salt (N/N)Chumvi
orange (Ji / Ma)chungwa
College (Ki /Vi)Chuo
your (pl) collegeChuo chenu
Their universityChuo chao
universityChuo kikuu
Bottle (N/N)Chupa
empty bottleschupa tupu
Minute (N/N)Dakika
doctordaktari
Our doctordaktari wetu
bridge / staircase (Ji / Ma)daraja
Medicine (N/N)Dawa
driver (Ji / Ma)dereva
shop (Ji / Ma)duka
BookstoreDuka la vitabu
our shopduka letu
thousandelfu
ten thousandelfu kumi
mango (Ji / Ma)embe
your (pl) mangoembe lenu
Emilian is smart (looking)Emilian ni maridadi
Family (N/N)Familia
my familyFamilia yangu
their familiesFamilia zao
Faridi is washing the pot.Faridi anaosha sufuria.
Faridi lights the stove.Faridi anawasha jiko.
craftsman (Ji / Ma)fundi
Joy (N/N)Furaha
great joy / great happinessfuraha kubwa
car (Ji / Ma)Gari
My carGari langu
newspaper (Ji / Ma)gazeti
Today's newspaperGazeti la leo
expensiveghali
mattress (Ji / Ma)godoro
He does not need to walk.Hahitaji kutembea.
fiftyhamsini
Fifty-twohamsini na mbili
fifty-fivehamsini na tano
fifty-ninehamsini na tisa
Danger (N/N)Hatari
We don't go today.Hatuendi leo.
We do not think so.Hatufikiri.
We don't need to eat.Hatuhitaji kula.
We do not drink in the morning.Hatunywi asubuhi.
Air / athmosphere (N/N)Hewa
you don't have to standhuhitaji kusimama
twentyIshirini
twenty-sixIshirini na sita
Jamila sweeps the bathroom.Jamila anafagia bafu.
Jamila washes clothes.Jamila anafua nguo.
leaf (Ji / Ma)jani
hoe (Ji / Ma)Jembe
my hoejembe langu
answer (Ji / Ma)jibu
your (sg) answerjibu lako
eye (Ji / Ma)jicho
kitchen (Ji / Ma)Jiko
province (Ji / Ma)jimbo
name (Ji / Ma)jina
tooth (Ji / Ma)jino
stone (Ji / Ma)jiwe
my stonejiwe langu
Juma cleans the bathroom today.Juma anasafisha bafu leo.
Coffee (N/N)Kahawa
Pen (N/N)Kalamu
My penKalamu yangu
My pensKalamu zangu
camera (N/N)Kamera
Completekamili
church (Ji / Ma)kanisa
Christian church – Church of the ChristiansKanisa la Wakristo
Your (sg) churchKanisa lako
paper (N/N)karatasi
a large paperkaratasi kubwa
Work (N/N)Kazi
a shoe (Ki /Vi)Kiatu
Her shoeKiatu chake
a big shoeKiatu kikubwa
head (Ki /Vi)Kichwa
Finger (Ki /Vi)Kidole
My fingerKidole changu
Village (Ki /Vi)Kijiji
Spoon (Ki /Vi)Kijiko
His spoonKijiko chake
Cup (Ki /Vi)Kikombe
a dirty cupKikombe kichafu
Each/Everykila
mirror (Ki /Vi)Kioo
Your(sg) mirrorKioo chako
My mirrorKioo changu
Water well (Ki /Vi)Kisima
Their wellKisima chao
your (pl) wellKisima chenu
island (Ki /Vi)Kisiwa
Their islandKisiwa chao
a nice islandkisiwa kizuri
Knife (Ki /Vi)Kisu
Book (Ki /Vi)Kitabu
My bookKitabu changu
the heavy bookKitabu kizito
cloth material (Ki /Vi)Kitambaa
My cloth materialKitambaa changu
Bed (Ki /Vi)Kitanda
Our bedKitanda chetu
Bed and mosquito netkitanda na chandarua
chair ( Ki /Vi)Kiti
Computer (N/N)Kompyuta
my computerKompyuta yangu
to wake upKuamka
to writekuandika
to lookkuangalia
to beginkuanza
to play / to danceKucheza
to takekuchukua
to drivekuendesha
to sweepkufagia
to do / makekufanya
to arrivekufika
to thinkKufikiri
to wash (clothes)kufua
to keep /raise (only animals)kufuga
to teachkufundishi
to closekufunga
to openkufungua
to coverkufunika
to wipe / erase / dustkufuta
to needkuhitaji
to enterkuingia
to lift up / raiseKuinua
to comekuja
to trykujaribu
to buildkujenga
to answerKujibu
to learnkujifunza
to knowkujua
to sit / stay / livekukaa
to runkukimbia
chickenkuku
a heavy chickenKuku mzito
to agree / acceptkukubali
to eatkula
to sleepkulala
to bringkuleta
to crykulia
tenkumi
elevenkumi na moja
sixteenKumi na sita
nineteenkumi na tisa
to wash (hands/ face e.g. before food)kunawa
to wait (ng)kungoja
to drinkkunywa
to wash (body)kuoga
to swimKuogelea
to wash (car/window / dishes /hair)kuosha
to give (irregular)kupa
to sow /to plantkupanda
to arrange / organizekupanga
to like / lovekupenda
to cookKupika
to returnkurudi
to travelkusafiri
to cleankusafisha
to clean and sweepKusafisha na kufagia
to speak / to saykusema
to advicekushauri
to stand / stopkusimama
to stand and to sitKusimama na kukaa
to stop and to stayKusimama na kukaa
to readkusoma
to wait (s) (more frequent)kusubiri
to wait forkusubiria
to wantkutaka
to walkkutembea
to visitKutembelea
to sendkutuma
to keep /savekutunza
to light /ignitekuwasha
cankuweza
to huntkuwinda
to be bornkuzaliwa
to extinguish / put offkuzima
to talkkuzungumza
to gokwenda
Smooth/SoftLaini
hundred thousandlaki
Work knowledgeMaarifa ya kazi
cooking knowledgeMaarifa ya kupika
changes/ transformations (Ji / Ma)mabadiliko
blankets (Ji / Ma)mablanketi
hotel blanketsMablanketi ya mahoteli
school blanketsMablanketi ya shule
valleys (Ji / Ma)mabonde
eyes (Ji / Ma)macho
their eyesmacho yao
oranges (Ji / Ma)machungwa
doctors (exceptional)madaktari
bridges / staircases (Ji / Ma)madaraja
drivers (Ji / Ma)madereva
shops (Ji / Ma)maduka
mangos (Ji / Ma)maembe
sweet mangoesmaembe matamu
progress / developement (Ji / Ma)maendeleo
craftsmen (Ji / Ma)mafundi
oil (Ji / Ma)mafuta
My oil (pl)Mafuta yangu
cars (Ji / Ma)magari
My carsMagari yangu
newspapers (Ji / Ma)magazeti
Today's newspapersMagazeti ya leo
mattresses (Ji / Ma)magodoro
Our mattressesMagodoro yetu
corn (mais) (Ji / Ma)mahindi
leaves (Ji / Ma)majani
tea leavesMajani ya chai
hoes (Ji / Ma)majembe
Students' hoesmajembe ya wanafunzi
answers (Ji / Ma)majibu
kitchens (Ji / Ma)majiko
provinces (Ji / Ma)majimbo
Our states (provinces)majimbo yetu
names (Ji / Ma)majina
ashes (Ji / Ma)majivu
churches (Ji / Ma)makanisa
their churchesmakanisa yao
Mom likes to clean.Mama anapenda kusafisha.
Is Mom lighting the fire?Mama anawasha moto?
pineapples (Ji / Ma)mananasi
Children's pineapplesMananasi ya watoto
papayas (Ji / Ma)mapapai
barrels (Ji / Ma)mapipa
My barrelsMapipa yangu
elegant / smart lookingmaridadi
fields / farms (Ji / Ma)mashamba
advices (Ji / Ma)Mashauri
My advicesMashauri yangu
axes (Ji / Ma)mashoka
poorMaskini
questions (Ji / Ma)maswali
nations (Ji / Ma)mataifa
employers (Ji / Ma)matajiri
our employersmatajiri yetu
mud (Ji / Ma)matope
expensive fruitsMatunda ghali
flowers (Ji / Ma)maua
roses (flower of the rose)Maua ya waridi
stones/ rocks (Ji / Ma)Mawe
river stonesMawe ya mto
my stonesmawe yangu
eggs (Ji / Ma)mayai
environment (Ji / Ma)mazingira
Our environmentmazingira yetu
milk (Ji / Ma)maziwa
cold milkmaziwa ya baridi
hot milkmaziwa ya moto
her milkmaziwa yake
discussion /dialogue / conversation (Ji / Ma)mazungumzo
twombili
Vegetable (N/N)Mboga
seedling (M/Mi)mche
Tree seedlingmche wa mti
game (M/Mi)mchezo
a nice gamemchezo mzuri
the man's game is difficultmchezo wa mwanaume ni mgumu
diagram / sketch / drawing / design (M/Mi)mchoro
Sauce (M/Mi)mchuzi
Sweet sauceMchuzi mtamu
your (sg) saucemchuzi wako
insectmdudu
teeth (Ji / Ma)meno
Table (N/N)Meza
example (M/Mi)mfano
my example (M/Mi)mfano wangu
canal (M/Mi)mfereji
bag (M/Mi)mfuko
a big bagmfuko mkubwa
visitormgeni
leg (M/Mi)mguu
my leg (M/Mi)mguu wangu
engineerMhandisi
a smart engineermhandisi mwerevu
Her engineerMhandisi wake
waitermhudumu
hundredmia
six hundredmia sita
years (M/Mi)miaka
umbrellas (M/Mi)miavuli
your (pl) umbrellasmiavuli yenu
seedlings (M/Mi)miche
tree seedlings ( double pl. each tree has its own seed)miche ya miti
games (M/Mi)michezo
nice gamesmichezo mizuri
your (sg) gamesmichezo yako
diagrams / drawings (M/Mi)michoro
his diagramsmichoro yake
sauces (M/Mi)michuzi
mango trees (M/Mi)miembe
My mango treesmiembe yangu
examples (M/Mi)mifano
Good examplesMifano mizuri
the teacher's examples are goodmifano ya mwalimu ni mizuri
Examples of teachers and studentsMifano ya walimu na wanafunzi
my examples (M/Mi)mifano yangu
canals (M/Mi)mifereji
bags (M/Mi)mifuko
her bagsMifuko yake
legs (M/Mi)miguu
the legs of the farmermiguu ya mkulima
my legs (M/Mi)miguu yangu
bodies (M/Mi)miili
heavy bodiesmiili mizito
Their bodiesmiili yao
towns (M/Mi)miji
big citiesMiji mikubwa
scissors (pl) (M/Mi)mikasi
breads (M/Mi)mikate
Our breadsmikate yetu
mats (M/Mi)mikeka
spears (M/Mi)mikuki
long spearsmikuki mirefu
their spearsMikuki yao
meetings (M/Mi)mikutano
doors (M/Mi)milango
big doorsmilango mikubwa
your (sg) doors (M/Mi)milango yako
millionmilioni
seven millionmilioni saba
plants (M/Mi)mimea
I am a poor teacherMimi ni mwalimu maskini
I am cooking fish.Mimi ninapika samaki.
I am not richMimi si tajiri!
chains (M/Mi)minyororo
'smokes' / clouds of smoke (M/Mi)mioshi
Their clouds of smokemioshi yao
fires (M/Mi)mioto
your (pl) firesMioto yenu
hearts (M/Mi)mioyo
Our heartsMioyo yetu
frontiers (M/Mi)Mipaka
long bordersmipaka mirefu
Our bordersMipaka yetu
balls (M/Mi)mipira
the kid's balls are smallmipira ya mtoto ni midogo
Her ballsmipira yake
projectsmiradi
salaries (M/Mi)mishahara
my salaries (M/Mi)mishahara yangu
mosques (M/Mi)misikiti
Their mosquesmisikiti yao
forests (M/Mi)misitu
nails (M/Mi)misumari
long nailsmisumari mirefu
trees (M/Mi)miti
short treesmiti mifupi
tall treesmiti mirefu
your (pl) treesmiti yenu
exams (M/Mi)mitihani
their examsmitihani yao
rivers (M/Mi)mito
wide riversMito mipana
Their riversMito yao
canoes (M/Mi)mitumbwi
baggages (M/Mi)mizigo
roots (M/Mi)mizizi
their rootsMizizi yao
town (M/Mi)mji
a big townmji mkubwa
Our townMji wetu
pair of scissors (M/Mi)Mkasi
a sharp pair of scissorsMkasi mkali
bread (M/Mi)mkate
Hard breadmkate mgumu
His breadmkate wake
mat (M/Mi)mkeka
a nice matMkeka mzuri
spear (M/Mi)mkuki
FarmerMkulima
a good farmerMkulima mzuri
meeting (M/Mi)mkutano
a long meetingMkutano mrefu
your (pl) meetingMkutano wenu
door (M/Mi)mlango
Your(sg) door (M/Mi)mlango wako
Their doormlango wao
plant (M/Mi)mmea
a nice plantMmea mzuri
her plantMmea wake
you (pl) are drivingmnaendesha
You (pl) acceptmnakubali
You (pl) comemnakuja
you (pl) wash (your body)mnaoga
chain (M/Mi)mnyororo
a long chainmnyororo mrefu
onemoja
smoke (M/Mi)moshi
his smokemoshi wake
fire (M/Mi)moto
a big firemoto mkubwa
heart (M/Mi)moyo
My heartmoyo wangu
frontier (M/Mi)mpaka
Our bordermpaka wetu
ball (M/Mi)mpira
a new ballmpira mpya
My ballMpira wangu
cook /chiefmpishi
an honest chefmpishi mwaminifu
My chefmpishi wangu
project (M/Mi)mradi
a great projectmradi mkubwa
Our projectMradi wetu
TravelerMsafiri
a tall travelermsafiri mrefu
salary (M/Mi)mshahara
the salary of the doctormshahara wa daktari
my salary (M/Mi)mshahara wangu
girlmsichana
mosque (M/Mi)msikiti
the chief mosquemsikiti mkuu
forest (M/Mi)msitu
nail (M/Mi)msumari
tree (M/Mi)mti
a little treeMti mdogo
exam (M/Mi)mtihani
river (M/Mi)mto
baby /childmtoto
a bad childmtoto mbaya
a dirty kidmtoto mchafu
a good childmtoto mzuri
The child is light.Mtoto ni mwepesi.
the child of the neighbour (the neighbour’s child)Mtoto wa jirani
My childMtoto wangu
Personmtu
a gentle personmtu mpole
a faithful personmtu mwaminifu
canoe (M/Mi)mtumbwi
nurseMuuguzi
a young nurseMuuguzi mdogo
muzic (M/Mi)muziki
Her musicMuziki wake
wine (N/N)Mvinyo
Rain (N/N)Mvua
boymvulana
The boy is reading a book.Mvulana anasoma kitabu.
year (M/Mi)mwaka
teachermwalimu
their teachermwalimu wao
The student is standing.Mwanafunzi anasimama.
a skinny studentMwanafunzi mwembamba
Womanmwanamke
manmwanaume
umbrella (M/Mi)mwavuli
a good umbrellamwavuli mzuri
the umbrella of the nursemwavuli wa muuguzi
my umbrellamwavuli wangu
mango tree (M/Mi)mwembe
your (pl) mango treemwembe wenu
body (M/Mi)Mwili
thiefmwizi
a big thiefmwizi mkubwa
LiarMwongo
baggage (M/Mi)mzigo
the bagage of the thief is heavymzigo wa mwizi ni mzito
his luggagemzigo wake
root (M/Mi)mzizi
Opportunity / space (N/N)Nafasi
pineapple (Ji / Ma)nanasi
our pineappleNanasi letu
eightnane
Coconut (N/N)Nazi
country (N/N)nchi
a nice countryNchi nzuri
our countrynchi yetu
bird (N/N)Ndege
banana (N/N)ndizi
a few bananasndizi chache
Sweet bananasndizi tamu
dreams (N/N)Ndoto
bad dreamsndoto mbaya
sweet dreamsndoto tamu
cow /cattle (N/N)Ng'ombe
drum (N/N)Ngoma
clothes (N/N)Nguo
My clothesNguo zangu
thunder (N/N)Ngurumo
Strength (N/N)Nguvu
Way (N/N)Nija
a short wayNija fupi
A long wayNija ndefu
Broad waysNija pana
I begin to read.Ninaanza kusoma.
I am drivingninaendesha
I sweep the bathroom with a broom.Ninafagia bafu na ufagio.
I thinkNinafikiri
I wash the clothes with soap.Ninafua nguo na sabuni.
I am raising chicken.Ninafuga kuku.
I am wipingninafuta
I am wiping the windows.Ninafuta dirisha.
I needninahitaji
I need to returnNinahitaji kurudi.
I need to switch off my computerNinahitaji kuzima kompyuta yangu
I need a friend.Ninahitaji rafiki.
I tryninajaribu
I stay home.Ninakaa nyumbani.
I agreeninakubali
I am comingNinakuja
I am eatingNinakula
I eat againNinakula tena.
I am drinkingNinakunywa
I am washing (hands)ninanawa
I am waiting (ng)Ninangoja
I am sowing/plantingninapanda
I like their islandNinapenda kisiwa chao.
I love to talk swahiliNinapenda kuzungumza kiswahili
I like expensive clothesNinapenda nguo ghali
I clean a room.Ninasafisha chumba.
I am standing.Ninasimama
I can danceNinaweza kucheza.
I am hunting the chickens.Ninawinda kuku.
Are YOU (pl) wiping?Ninyi mnafuta?
Hunger / famine (N/N)Njaa
a bad famineNjaa mbaya
peanuts (N/N)Njugu
fournne
Light (N/N)Nuru
meat (N/N)Nyama
snakes (N/N)Nyoka
star (N/N)Nyota
The new star (e.g. football star)Nyota mpya
bee (N/N)Nyuki
house (N/N)Nyumba
big housesNyumba kubwa
New houseNyumba mpya
her housenyumba yake
My houseNyumba yangu
My housesNyumba zangu
Locust (N/N)Nzige
Office (N/N)Ofisi
Machete (N/N)Panga
papaya (Ji / Ma)papai
Iron ( for clothes) / pass (football)/ passport (N/N)Pasi
Money (N/N)Pesa
my money (pl)pesa zangu
Photo (N/N)Picha
A new picturePicha mpya
our photosPicha zetu
barrel (Ji / Ma)pipa
My barrelPipa langu
Alcohol (N/N)pombe
Friend (N/N)Rafiki
my dear friendrafiki yangu mpendwa
Easy/CheapRahisi
Hour (N/N)Saa
sevensaba
Reason (N/N)Sababu
good reasonssababu nzuri
seventysabini
seventy-foursabini na nne
seventy-sevensabini na saba
Soap (N/N)Sabuna
Clean/Goodsafi
Equal/Alikesawa
field / farm (Ji / Ma)shamba
a corn farmShamba la mahindi
My farmshamba langu
advice (Ji / Ma)shauri
My adviceShauri langu
Problem / Difficulty (N/N)Shida
ax (Ji / Ma)shoka
business (N/N)Shughuli
School (N/N)Shule
Butter (N/N)Siagi
phone (N/N)Simu
I don't like crying.Sipendi kulia.
sixsita
sixtysitini
sixty-eightsitini na nane
sixty-sixsitini na sita
I can't switch off my computer.Siwezi kuzima kompyuta yangu.
Sock(s) (N/N)Soksi
sugar (N/N)Sukari
Trousers (N/N)Suruali
question (Ji / Ma)swali
Light / lamp / lantern (N/N)Taa
nation (Ji / Ma)taifa
my nationtaifa langu
Our nationtaifa letu
employer (Ji / Ma)tajiri
Rubbish / trash (N/N)Takataka
fivetano
threetatu
readyTayari
thirtythelathini
thirty-threethelathini na tatu
eightythemanini
eighty-onethemanini na moja
eighty-eightthemanini na nane
ninetisa
ninetytisini
ninety-ninetisini na tisa
We wash clothes.Tunafua nguo.
We are closing.Tunafunga.
we are wipingtunafuta
We are dusting the room.Tunafuta chumba.
We need to travel.Tunahitaji kusafiri.
we are tryingTunajaribu
We agree to go.Tunakubali kwenda.
we are comingTunakuja
We are visitingTunatembelea
We are saving the avocados.Tunatunza maparachichi.
my fruitTunda langu
flower (Ji / Ma)ua
My flowerUa langu
Did you try to switch on your computer ?Umejaribu kuwasha kompyuta yako?
You are goingUnaenda
Are you dusting?Unafuta?
Are you trying to switch on your computer?Unajaribu kuwasha kompyuta yako ?
you answerunajibu
You are comingUnakuja
You like to swimUnapenda kuogelea.
Do you like to swim ?Unapenda kuogelea?
Are you cleaning the stove?Unasafisha jiko?
You are lighting a big fire.Unawasha moto mkubwa.
Can you try to switch your computer on ?Unaweza kujaribu kuwasha kompyuta yako ?
you extinguishunazima
shoes (Ki /Vi)Viatu
bad shoesviatu vibaya
dirty shoesviatu vichafu
My shoesViatu vyangu
heads (Ki /Vi)Vichwa
Fingers (Ki /Vi)Vidole
Their fingersVidole vyao
Villages (Ki /Vi)Vijiji
Spoons (Ki /Vi)Vijiko
unclean spoonsVijiko vichafu
huge spoonsVijiko vikubwa
their spoonsVijiko vyao
Cups (Ki /Vi)Vikombe
His cupsVikombe vyake
mirrors (Ki /Vi)vioo
My mirrorsVioo vyangu
Water wells (Ki /Vi)Visima
islands (Ki /Vi)Visiwa
KnivesVisu
sharp knivesVisu vikali
her knivesVisu vyake
Books (Ki /Vi)Vitabu
Books are expensivevitabu ni ghali
Books are not cheapVitabu si rahisi.
My booksVitabu vyangu
your (pl) booksVitabu vyenu
cloth materials (Ki /Vi)Vitambaa
My cloth materialsVitambaa vyangu
Beds (Ki /Vi)Vitanda
beds and moskito netsvitanda na vyandarua
wide bedsVitanda vipana
Their bedsVitanda vyao
chairs ( Ki /Vi)Viti
Broken chairsViti vibovu
Foods (Ki /Vi)Vyakula
Their mealsVyakula vyao
Toilets (Ki /Vi)Vyoo
Rooms (Ki /Vi)Vyumba
Colleges (Ki /Vi)Vyuo
Our collegesVyuo vyetu
insectswadudu
visitorswageni
His visitorsWageni wake
The guests begin to eat.Wageni wanaanza kula.
Visitors love traveling.Wageni wanapenda kusafiri.
engineerswahandisi
waiters / servantswahudumu
bad waiterswahudumu wabaya
The Kenyans clean.Wakenya wanasafisha.
FarmersWakulima
bad farmersWakulima wabaya
heavy farmersWakulima wazito
Our farmersWakulima wetu
teachersWalimu
gentle teachersWalimu wapole
your (pl) teachersWalimu wenu
The Americans take coffee.Wamarekani wanachukua kahawa.
they are drivingwanaendesha
The students are sweeping the room.Wanafunzi wanafagia chumba.
gentle studentswanafunzi wapole
smart studentswanafunzi werevu
They need to switch off their computers.Wanahitaji kuzima kompyuta zao.
They are comingWanakuja
They are swimmingwanaogelea
they are washing (car/hair)wanaosha
menwanaume
womenwanawake
smart womenwanawake werevu
they light (fire)wanawasha
They can walk.Wanaweza kutembea.
They are huntingWanawinda
They are rich.Wao ni tajiri.
LiarsWaongo
cooks / chiefsWapishi
bad cooksWapishi wabaya
TravelersWasafiri
girlswasichana
slim girlswasichana wembamba
Babies / childrenWatoto
bad childrenwatoto wabaya
Children cry.Watoto wanalia.
My childrenWatoto wangu
Their kidsWatoto wao
good childrenwatoto wazuri
PersonsWatu
trustworthy peoplewatu waaminifu
Your (sg) peopleWatu wako
adults (whole people)watu wazima
nurseswauguzi
Their nurseswauguzi wao
boyswavulana
the parents of the childwazazi wa mtoto
my parentsWazazi wangu
openWazi
thieveswezi
Big thievesWezi wakubwa
egg (Ji / Ma)yai
Gift (N/N)zawadi
your giftzawadi yako
your giftszawadi zako