Usages of mara kwa mara
Jana sikuwa na mafua, lakini leo nina kikohozi kidogo na ninapiga chafya mara kwa mara.
I didn’t have a cold yesterday, but today I have a little cough and I am sneezing from time to time.
Bibi husimulia hadithi za ajabu mara kwa mara usiku.
Grandmother tells amazing stories from time to time at night.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.