Usages of dhahabu
Sarafu moja ya dhahabu ilianguka chini ya dawati.
One gold coin fell under the desk.
Mama alinunua dhahabu sokoni.
Mother bought gold at the market.
Bwana harusi atamvalisha bi harusi pete ya dhahabu.
The groom will put a gold ring on the bride.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.