Usages of mbinu
Udongo una mbolea chache unahitaji mbinu maalum za kulima, ili mimea ikue vizuri.
Soil that has little fertilizer requires special farming methods, so that the plants grow well.
Mimi ninatumia mbinu nzuri.
I use a good method.
Kesho kutakuwa na warsha ya walimu kuhusu mbinu za kufundisha.
Tomorrow there will be a workshop for teachers about teaching methods.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.