Usages of kupungua
Ni vyema usubiri kidogo, ili huzuni ipungue kabla ya kuzungumza naye.
It is good that you wait a little, so that the sadness decreases before speaking to him.
Furaha yangu hupungua jioni.
My happiness decreases in the evening.
Mvua ikianza leo, ukame huo utapungua polepole.
If it starts raining today, that drought will slowly decrease.
Barabara kuu imejaa magari, lakini pindi trafiki itakapopungua tutasafirisha saruji.
The main road is full of cars, but as soon as the traffic decreases we will transport the cement.
Hofu ya mtoto ilipungua alipomwona mtu mzima akitabasamu.
The child’s fear decreased when she saw an adult smiling.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.