Usages of kuchoka
Ningependa upumzike kidogo kama unajisikia kuchoka.
I would like you to rest a bit if you feel tired.
Mimi ninachoka baada ya kucheza mpira.
I am tired after playing ball.
Hata kama jioni umechoka, ni vizuri kusoma kurasa chache kabla ya kulala.
Even if you are tired in the evening, it is good to read a few pages before sleeping.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.