Usages of kupigia
Tutakupigia simu baada ya dakika kumi.
We will call you after ten minutes.
Mimi ninapigia Juma simu.
I call Juma on the phone.
Bomba likiziba, tafadhali funga maji na mpigie fundi simu.
If the pipe clogs, please turn off the water and call the repairman.
Elon.io is an online learning platform
We have an entire course teaching Swahili grammar and vocabulary.