Locatives 3 - mo

QuestionAnswer
to be inside a place
mo
I am somewhere near/at/in a post office.
Mimi niko posta.
I am at/in the post office.
Mimi nipo posta.
I am inside the post office.
Mimi nimo posta.
kanisa
church
careful this is an intruder from the ji/ma noun class which we did not treat yet.
Where are they?
Wako wapi?
Wamo wapi?
Wapo wapi?
They are somewhere at some church.
Wako kanisani.
Wapo kanisani.
Wamo kanisani.
They are at the church.
Wapo kanisani.
Wako kanisani.
Wamo kanisani.
They are inside the church.
Wamo kanisani.
Wako kanisani.
Wapo kanisani.
Are you with us ? / Are you in or out ?
Uko nasi ?
asked while making plans
I am in.
Nimo.
Said agreeing to a plan.
I am not in. I don't have time.
Mimi simo. Sina nafasi.
nafasi = capacity / opportunity/ chance / time
I was inside.
nilikuwemo
in which I was of which I was part
many people (and I used to be one of them)...
watu wengi sana (na mimi nilikuwemo zamani)...
zamani = of old / former / long ago
I was inside the church.
Nilikuwemo kanisani.
He was inside the church.
Alikuwemo kanisani.
He was in the room.
Alikuwemo chumbani.
He was in his room.
Alikuwemo kwenye chumba chake.
She was in your room.
Alikuwemo kwenye chumba chako.
I was in his house.
Nilikuwemo kwenye nyumba yake.
We were inside the hotel.
Tulikuwemo hotelini.
I was not inside
Sikuwemo
I was not inside the hotel.
Sikuwemo hotelini
I am inside the bank.
Nimo kwenye benki.
Where is your father? - He is inside the house.
Baba yako yuko wapi? - Yumo nyumbani.
Where is the juice? It is inside the bottle.
Juisi iko wapi? Imo katika chupa.
tin (jar)
kopo
intruder alert. Despite the k- this word is part of the Ji/Ma class. We will get there soon.
Where is our sugar? It's inside the tin.
Sukari yetu iko wapi? Imo katika kopo.