Locatives 2 - po

QuestionAnswer
Where are you?
Uko wapi ?
I am here .
Nipo hapa.
You are (at the place)
upo
You are right here.
Upo hapa.
He/she is (at the place)
yupo
cinema
sinema
He is at the cinema.
Yupo kwenye sinema.
We are (at the place)
tupo
Bar
baa
We are at the bar.
Tupo kwenye baa.
You (pl) are (at the place)
mpo
You (pl) are at the post office.
Mpo kwenye posta.
They are (at the place)
wapo
bank
benki
They are at the bank.
Wapo kwenye benki.
it is (at the place) - Ki/Vi class sg
kipo
Where is the toilet?
Choo kiko wapi?
The toilet is here.
Choo kipo hapa.
hotel
hoteli
they are (at the place) - Ki/Vi pl
vipo
The toilets are at the hotel.
Vyoo vipo hotelini.
Where is the engineer ?
Mhandisi yuko wapi ?
He is at the bank.
Yupo (kwenye) benki.
which (N/N class sg)
ipi
Which bank ?
Benki ipi?
near the
karibu na
Near the bar.
Karibu na baa.
Where are the guests ?
Wageni wako wapi ?
They are at the hotel.
Wapo hotelini.
Which hotel ?
Hoteli ipi?
Near the cinema
Karibu na sinema.
Where is the knife ?
Kisu kiko wapi ?
It (Ki/vi) is next to the spoon.
Kipo karibu na kijiko.
which - Ki/Vi class sg
kipi
Which spoon ?
Kijiko kipi?
The spoon on the table.
Kijiko kwenye meza.
Where is our hotel?
Hoteli yetu iko wapi?
Where is your (pl) house?
Nyumba yenu iko wapi?
Where is your cat?
Paka wako yuko wapi?
Where are your cats?
Paka wako wako wapi?
My cats are here.
Paka wangu wapo hapa.
Where is her child?
Mtoto wake yuko wapi?
Where are her children?
Watoto wake wako wapi?
Her children are home.
Watoto wake wako nyumbani.
Where are their guests?
Wageni wao wako wapi?
The guests are at the hotel.
Wageni wapo hotelini.