Ki/Vi - Noun class - Second Part

QuestionAnswer
The butterfly flies.
Kipepeo anaruka.
Ki/Vi class noun - Animal

Ki/Vi plural / behaves like M/Wa nouns

The bottle flies.
Chupa inaruka.
N/N class noun sg
The knive flies.
Kisu kinaruka.
Ki/Vi class noun sg
The butterflies fly.
Vipepeo wanaruka.
Ki/Vi class noun - Animal plural

Ki/Vi pl / behaves like M/Wa nouns

The bottles fly.
Chupa zinaruka.
N/N class noun - pl
The knives fly.
Visu vinaruka.
Ki/Vi class noun pl
a sharp knife
kisu kikali
sharp knives
visu vikali
a big chair
kiti kikubwa
a small island
kisiwa kidogo
nice shoes
viatu vizuri
long matches
viberiti virefu
a long finger
kidole kirefu
a big head
kichwa kikubwa
The girl has short fingers.
Msichana ana vidole vifupi.
The cup is small.
Kikombe ni kidogo.
big potatoes and small onions
Viazi vikubwa na vitunguu vidogo
a nice bed and a long book
kitanda kizuri na kitabu kirefu
The small dog has a big basket.
Mbwa mdogo ana kikapu kikubwa.
The small shoes are bad.
Viatu vidogo ni vibaya.
The woman wants nice shoes.
Mwanamke anataka viatu vizuri.
The long knife is not sharp.
Kisu kirefu si kikali.
The little boy has a big head.
Mvulana mdogo ana kichwa kikubwa.