Ki/Vi - Noun class - First Part

QuestionAnswer
shoe
kiatu
shoes
viatu
chair
kiti
chairs
viti
bed
kitanda
beds
vitanda
book
kitabu
books
vitabu
knife
kisu
knives
visu
I have shoes.
Nina viatu.
Do you like books.
Unapenda vitabu?
Chairs and a bed
Viti na kitanda
to want
kutaka
We want beds.
Tunataka vitanda.
spoon
kijiko
spoons
vijiko
spoons and knives
vijiko na visu
I want shoes.
Ninataka viatu.
head
kichwa
finger
kidole
heads and fingers
vichwa na vidole
basket
kikapu
potatoes
viazi
in
katika
a potato in a basket
kiazi katika kikapu
hippopotamus
kiboko
hippos
viboko
rhinoceros
kifaru
rhinos
vifaru
island
kisiwa
islands in the ocean
visiwa katika bahari
hippos in the Nile
viboko katika Nile
hill
kilima
hills
vilima
village
kijiji
hills and villages
vilima na vijiji
the village on top of the hill
kijiji juu ya kilima
hippos and rhinos
viboko na vifaru
match(stick)
kiberiti
matches
viberiti
cup
kikombe
cups
vikombe
onion
kitunguu
onions
vitunguu
garlic
vitunguu saumu
potatoes, garlic and onions
viazi, vitunguu saumu na vitunguu
a well
kisima
wells
visima
wells and islands
visima na visiwa
a well on the island
kisima kwenye kisiwa
hawk
kipanga
Hawks are birds.
Vipanga ni ndege.
butterfly
kipepeo
butterflies
vipepeo
I eat onions.
Ninakula vitunguu.
I like cups.
Ninapenda vikombe.
I have shoes.
Nina viatu.
The hawk is flying over the sea.
Kipanga anaruka juu ya bahari.
The little butterfly is so beautiful.
Kipepeo mdogo ni mzuri sana.
The rhinoceros is very big.
Kifaru ni mkubwa sana.
The hawk eats a mouse.
Kipanga anakula panya.
The hawk is hunting fish.
Kipanga anawinda samaki.
The bird eats the butterfly.
Ndege anakula kipepeo.
Are you afraid of rhinos?
Je unaogopa vifaru?
The hippos live in the water.
Viboko wanaisha majini.
dangerous
hatari
A hippopotamus is quite dangerous.
Kiboko ni hatari sana.
I love butterflies.
Ninapenda vipepeo.
Do you want a chair?
Unataka kiti?
We have knives.
Tuna visu.
I eat potatoes with salt.
Ninakula viazi na chumvi.
I love books.
Ninapenda vitabu.
Does he like to read books?
Yeye anapenda kusoma vitabu?
We go to the island.
Tunaenda kisiwani.
We walk on the hill.
Tunatembea kwenye kilima.
They want spoons.
Wanataka vijiko.
Do you have a match?
Una kiberiti?
They like the beds.
Wanapenda vitanda.
I have a basket.
Nina kikapu.