Lesson 18

QuestionAnswer
under
chini ya
under the sea
chini ya bahari
animal
mnyama
M/Wa noun class
animals
wanyama
M/Wa noun class - pl
a sea animal
mnyama wa bahari
sea animals
wanyama wa bahari
above / on top of
juu ya
above the sea
juu ya bahari
sand
mchanga
M/Mi class noun

(We will discuss this later but let me give one secret away... in sg it uses 'wa' for of - mchanga wa bahari = sea sand)

sea sand
mchanga wa bahari
over the sea sand
juu ya mchanga wa bahari
to walk
kutembea
to walk over the sea sand
kutembea juu ya mchanga wa bahari
I walk over the sea sand.
Ninatembea juu ya mchanga wa bahari.
seagull
shakwe
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

A seagull is a bird.
Shakwe ni ndege.
to fly / to jump
kuruka
The seagull flies over the sea.
Shakwe anaruka juu ya bahari.
The seagull walks over the sand.
Shakwe anatembea juu ya mchanga.
octopus
pweza
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

The octopus lives in the sea.
Pweza anaishi baharini.
The octopus is a big animal.
Pweza ni mnyama mkubwa.
The octopus is very big.
Pweza ni mkubwa sana.
to swim
kuogelea
The octopus is swimming under the water.
Pweza anaogelea chini ya maji.
Maji is from the Ji/Ma noun class.

Nothing to worry about for now

pufferfish
bunju
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

The pufferfish is a fish.
Bunju ni samaki.
he is afraid
anaogopa
(verb infix for when/if clause)
ki
if he is afraid / when he is afraid
akiogopa
When I am afraid
nikiogopa
if you are afraid
ukiogopa
when we are afraid
tukiogopa
when the pufferfish is afraid
bunju akiogopa
he drinks
anakunywa
(verb infix for future tense)
ta
he will drink
atakunywa
I will swim
nitaogelea
they will walk
watatembea
a lot of water
maji mengi
When the pufferfish is afraid, he drinks (future) a lot of water and becomes bigger.
Bunju akiogopa, atakunywa maji mengi na kuwa mkubwa zaidi.
whale
nyangumi
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

The whale is not a fish.
Nyangumi si samaki.
Whales are sea animals.
Nyangumi ni wanyama wa bahari.
Whales are very big.
Nyangumi ni wakubwa sana.
to hunt
kuwinda
People hunt whales.
Watu wanawinda nyangumi.
snail
konokono
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

sea snail
konokono wa baharini
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

to live
kuishi
which / who (M/Wa- sg)
ambaye
which / who (M/Wa- pl)
ambao
Sea snails are snails which live in the sea.
Konokono wa baharini ni konokono ambao wanaishi baharini.
The sea snail has a house.
Konokono wa baharini ana nyumba.
The sea snail walks on the the sand at the bottom of the sea.
Konokono wa baharini anatembea juu ya mchanga chini ya bahari.
lobster
kambakoche
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

The lobster lives under the sea.
Kambakoche anaishi chini ya bahari.
The lobster walks on the sand.
Kambakoche anatembea juu ya mchanga.
The lobster is fierce.
Kambakoche ni mkali.
People like to eat lobsters.
Watu wanapenda kula kambakoche.
dolphin
pomboo
Dolphins live in the sea.
Pomboo wanaishi baharini.
Dolphins are not fish.
Pomboo si samaki.
Dolphins swim in the sea and jump.
Pomboo wanaogelea baharini na wanaruka.
Dolphins are very gentle.
Pomboo ni mpole sana.
seahorse
mbuzi wa bahari
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

= farasi wa bahari

N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

The seahorse is a small animal.
Mbuzi wa bahari ni mnyama mdogo.
The seahorse is very beautiful.
Mbuzi wa bahari ni mzuri sana.
squid
ngisi
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

near / in / at / on
kwenye
coral reef
miamba ya matumbawe
M/Mi class noun -pl

We will treat that later

The squid is swimming near the coral reef.
Ngisi anaogelea kwenye miamba ya matumbawe.
crab
kaa
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

= kururu

N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

The crab walks in the sea sand.
Kaa anatembea kwenye mchanga wa bahari.
rock
mwamba
M/Mi class

its plural is 'miamba' = rocks

as we have seen in 'miamba ya matumbawe' = rocks of corals = coral reef

The crab is walking on the rock.
Kaa anatembea kwenye mwamba.
oyster
chaza
N/N class noun - Animal

no plural / behaves like M/Wa nouns

People like to eat oysters.
Watu wanapenda kula chaza.