| Question | Answer |
|---|---|
| I have | Nina |
| I have children. | Nina watoto. |
| you have | una |
| Do you have a dog? | Je una mbwa? |
| he has / she has | ana |
| She has problems.* | Ana matata. *btw I only allowed this intruder for the sake of Lion King vocabulary :XD
We didn't study the right word class yet. |
| we have | tuna |
| We have a girl and a boy. | Tuna msichana na mvulana. |
| you (pl) have | mna |
| Do you (pl) have cockroaches? | Je mna mende ? |
| they have | wana |
| The guests have children. | Wageni wana watoto. |
| The traveler has a dog. | Msafiri ana mbwa. |
| The girl has a bird. | Msichana ana ndege. |
| The fishermen have fishes. | Wavuvi wana samaki. |
| That farmer has a sharp dog. | Mkulima yule ana mbwa mkali. |
| Those women have beautiful girls. | Wanawake wale wana wasichana wazuri. |