this (M/Wa) | huyu |
this person | mtu huyu |
these (M/Wa) | hawa |
these people | watu hawa |
that (M/Wa) | yule |
that man | mwanaume yule |
those (M/Wa) | wale |
but | lakini |
These people are honest, but those people are bad. | Watu hawa ni waaminifu lakini watu wale ni wabaya. |
this sister | dada huyu |
that crocodile | mamba yule |
those spiders | buibui wale |
Those fishermen and their fishes. | Wavuvi wale na samaki wao. |
These cooks are better than ours. | Wapishi hawa ni wazuri zaidi kuliko wapishi wetu. |
This traveler is my guest. | Msafiri huyu ni mgeni wangu. |
This woman is the girl's mother. | Mwanamke huyu ni mama wa msichana. |
Those spiders are so small. | Buibui wale ni wadogo sana. |
This African is so tall. | Mwafrika huyu ni mrefu sana. |
these teachers and those students | walimu hawa na wanafunzi wale |
That man is my father. | Mwanaume yule ni baba yangu. |
This person is not a teacher. | Mtu huyu si mwalimu. |
That nurse is honest. | Muuguzi yule ni mwaminifu. |
These chiefs are dishonest. | Wapishi hawa si waaminifu. |