| mother | mama |
| my mother | mama yangu |
| your mother | mama yako |
| our mother | mama yetu |
| our mothers | mama zetu |
| their mothers | mama zao |
| father | baba |
| our father | baba yetu |
| brother | kaka |
| my brothers | kaka zangu |
| sister | dada |
| your sisters | dada zako |
| friend | rafiki |
| the friends of your sister | rafiki wa dada yako |
| the brother of my mother | kaka wa mama yangu |
| the father of their friend | baba wa rafiki yao |
| the friend of their father | rafiki wa baba yao |
| our fathers and mothers | baba na mama zetu |
| My friend is tall. | Rafiki yangu ni mrefu. |
| The sister of my mother is beautiful. | Dada wa mama yangu ni mzuri. |
| my brother and my cat | kaka yangu na paka wangu |
| My bird and the bird of your sister | Ndege wangu na ndege wa dada yako. |
| My cat is my friend. | Paka wangu ni rafiki yangu. |
| Our dog and our cat are friends. | Mbwa wetu na paka wetu ni rafiki. |
| a good friend of mine | rafiki yangu mzuri |
| You are a good friend of mine. | Wewe ni rafiki yangu mzuri. |
| (is ?) (optional question particle to introduce a yes/no question) | je ? |
| Is Asha a good friend of yours? | Je, Asha ni rafiki yako mzuri? |
| my best friend | rafiki yangu mkubwa |
| You are my best friend. | Wewe ni rafiki yangu mkubwa. |
| Is Emilian your best friend? | Je Emilian ni rafiki yako mkubwa? |
| The best friend of the elephant is the mouse. | Rafiki mkubwa wa tembo ni panya. |
| The big elephant's best friend is the little mouse. | Rafiki mkubwa wa tembo mkubwa ni panya mdogo. |