The cook's cat(s) / the cat(s) of the cook | paka wa mpishi |
the mouse /mice of the cat(s) | panya wa paka |
The girl's bird is beautiful. | ndege wa msichana ni mzuri. |
The boy's dog is big. | Mbwa wa mvulana ni mkubwa. |
The boy's dogs are big. | Mbwa wa mvulana ni wakubwa. |
The guests of the engineer are African people. | Wageni wa mhandisi ni watu wa Afrika. |
The woman's nurse is beautiful. | Muuguzi wa mwanamke ni mzuri. |
The teacher's cooks are bad. | Wapishi wa mwalimu ni wabaya. |
The student's teacher is tall. | Mwalimu wa mwanafunzi ni mrefu. |
sharp / fierce / severe (M/Wa class sg) | mkali |
The farmer's dogs are fierce. | Mbwa wa mkulima ni wakali. |
Sharp dogs are not nice. | Mbwa wakali si wazuri. |
African elephants are not small. | Tembo wa Afrika si wadogo. |