Lesson 5

QuestionAnswer
elephant
tembo
elephants
tembo
big elephants
tembo wakubwa
The elephant is big.
Tembo ni mkubwa.
giraffe(s)
twiga
The giraffe is tall.
Twiga ni mrefu.
The giraffes are tall.
Twiga ni warefu.
cockroach
mende
Cockroaches are bad.
Mende ni wabaya.
Fish
Samaki
Fishes are beautiful.
Samaki ni wazuri.
mouse /mice
panya
Mice are small.
Panya ni wadogo.
cat(s)
paka
cats and mice
paka na panya
dog(s)
mbwa
cats and dogs
paka na mbwa
bird(s) / airplanes
ndege
Birds are beautiful.
Ndege ni wazuri.
lion(s)
simba
Lions are big.
Simba ni wakubwa.
a small cat and a big lion
paka mdogo na simba mkubwa
A lion is a big cat.
Simba ni paka mkubwa.
crocodile(s)
mamba
Crocodiles are big and bad.
Mamba ni wakubwa na wabaya.
A cockroach are small.
Mende ni mdogo.
spider(s)
buibui
a small spider and a big spider
buibui mdogo na buibui mkubwa
spiders and cockroaches
buibui na mende