Lesson 4

QuestionAnswer
big (M/Wa class sg)
mkubwa
a big child
mtoto mkubwa
big children
watoto wakubwa
bad (M/Wa Class sg)
mbaya
a bad cook
mpishi mbaya
bad cooks
wapishi wabaya
beautiful / nice /good / pretty (M/Wa Class sg)
mzuri
a pretty girl
msichana mzuri
woman
mwanamke
a nice woman
mwanamke mzuri
women
wanawake
men and woman
wanaume na wanawake
women and children
wanawake na watoto
nice children
watoto wazuri
The children are nice.
Watoto ni wazuri.
The boys are bad.
Wavulana ni wabaya.
Children are not big people.
Watoto si watu wakubwa.
tall / long (M/Wa Class sg)
mrefu
tall men
wanaume warefu
a tall man
mwanaume mrefu
The engineer is a tall man.
Mhandisi ni mwanaume mrefu.
They are tall people..
Wao ni watu warefu.
short (M/Wa Class sg)
mfupi
The cook is a tall person.
Mpishi ni mtu mrefu.
The short nurse is African.
Muuguzi mfupi ni mwafrika.
The tall Africans are engineers.
Waafrika warefu ni wahandisi.
The short travelers are guests.
Wasafiri wafupi ni wageni.
I am not short.
Mimi si mfupi.
small (M/Wa Class sg)
mdogo
The girl is small.
Msichana ni mdogo.
The boys are small.
Wavulana ni wadogo.