Lesson 2

QuestionAnswer
teacher
mwalimu
teachers
walimu
student
mwanafunzi
students
wanafunzi
man
mwanaume
men
wanaume
African (person)
mwafrika
Africans
waafrika
we
sisi
they
wao
I am a man.
Mimi ni mwanaume.
We are men.
Sisi ni wanaume.
Are they men?
Wao ni wanaume?
No, they are not men.
Hapana, wao si wanaume.
Are you an African?
Wewe ni mwafrika?
Yes, I am an African.
Ndiyo, mimi ni mwafrika.
Are you a student?
Wewe ni mwanafunzi?
No, I am a teacher.
Hapana, mimi ni mwalimu.
We are teachers.
Sisi ni walimu.
The teachers are Africans.
Walimu ni waafrika.
The men are teachers.
Wanaume ni walimu.
The Africans are students.
Waafrika ni wanafunzi.
Students are not teachers.
Wanafunzi si walimu.