Reading Swahili - Ndoto ya Amerika/ The Dream of America by Ken Walibora 10 - Sura ya 1 - i

QuestionAnswer
house (n-class poss. pref. y/z / obj pref. i/zi / of: ya/za)
nyumba
our house
nyumba yetu
to have
kuwana
I have
nina
I don't have
sina
you have
una
you don't have
huna
he has
ana
he doesn't have
hana
it has (n class)
ina
the house has
nyumba ina
wall (u- class /poss. pref. w/z / obj. pref. u / of: wa /za)
ukuta
walls (u-class)
kuta
Our house has walls.
Nyumba yetu ina kuta.
dirt /soil/ earth /clay (u-class / no plural)
udongo
clay walls
kuta za udongo
Our house has clay walls.
Nyumba yetu ina kuta za udongo.