Question | Answer |
---|---|
I need to switch off my computer | Ninahitaji kuzima kompyuta yangu |
They need to switch off their computers. | Wanahitaji kuzima kompyuta zao. |
I can't switch off my computer. | Siwezi kuzima kompyuta yangu. |
Are you trying to switch on your computer? | Unajaribu kuwasha kompyuta yako ? |
Did you try to switch on your computer ? | Umejaribu kuwasha kompyuta yako? |
Can you try to switch your computer on ? | Unaweza kujaribu kuwasha kompyuta yako ? |