| Question | Answer |
|---|---|
| Tree seedling | mche wa mti |
| tree seedlings ( double pl. each tree has its own seed) | miche ya miti |
| the salary of the doctor | mshahara wa daktari |
| the legs of the farmer | miguu ya mkulima |
| the umbrella of the nurse | mwavuli wa muuguzi |
| the kid's balls are small | mipira ya mtoto ni midogo |
| the man's game is difficult | mchezo wa mwanaume ni mgumu |
| the teacher's examples are good | mifano ya mwalimu ni mizuri |
| Examples of teachers and students | Mifano ya walimu na wanafunzi |
| the bagage of the thief is heavy | mzigo wa mwizi ni mzito |