Question | Answer |
---|---|
I am hunting the chickens. | Ninawinda kuku. |
You like to swim | Unapenda kuogelea. |
We need to travel. | Tunahitaji kusafiri. |
The guests begin to eat. | Wageni wanaanza kula. |
The Americans take coffee. | Wamarekani wanachukua kahawa. |
Do you like to swim ? | Unapenda kuogelea? |
I begin to read. | Ninaanza kusoma. |
Visitors love traveling. | Wageni wanapenda kusafiri. |
We are saving the avocados. | Tunatunza maparachichi. |
We agree to go. | Tunakubali kwenda. |