| Question | Answer |
|---|---|
| to stand and to sit | Kusimama na kukaa |
| to stop and to stay | Kusimama na kukaa |
| I stay home. | Ninakaa nyumbani. |
| The student is standing. | Mwanafunzi anasimama. |
| I can dance | Ninaweza kucheza. |
| I am raising chicken. | Ninafuga kuku. |
| They can walk. | Wanaweza kutembea. |
| I don't like crying. | Sipendi kulia. |
| Children cry. | Watoto wanalia. |
| you don't have to stand | huhitaji kusimama |