Swahili 30 - Verb 21 -30 sentences

QuestionAnswer
Faridi lights the stove.Faridi anawasha jiko.
I sweep the bathroom with a broom.Ninafagia bafu na ufagio.
She is wiping the table.Anafuta meza.
We are dusting the room.Tunafuta chumba.
I am wiping the windows.Ninafuta dirisha.
Are YOU (pl) wiping?Ninyi mnafuta?
I wash the clothes with soap.Ninafua nguo na sabuni.
The students are sweeping the room.Wanafunzi wanafagia chumba.
Is he cleaning with soap?Anasafisha na sabuni?
Is Mom lighting the fire?Mama anawasha moto?
I clean a room.Ninasafisha chumba.
Faridi is washing the pot.Faridi anaosha sufuria.
Are you cleaning the stove?Unasafisha jiko?
You are lighting a big fire.Unawasha moto mkubwa.
We wash clothes.Tunafua nguo.
to clean and sweepKusafisha na kufagia
Mom likes to clean.Mama anapenda kusafisha.
The Kenyans clean.Wakenya wanasafisha.
Juma cleans the bathroom today.Juma anasafisha bafu leo.
Jamila washes clothes.Jamila anafua nguo.
Jamila sweeps the bathroom.Jamila anafagia bafu.
I love to talk swahiliNinapenda kuzungumza kiswahili