Swahili 21 - Compounds with Ji /Ma nouns

QuestionAnswer
tea leaves
Majani ya chai
Christian church – Church of the Christians
Kanisa la Wakristo
Today's newspapers
Magazeti ya leo
school blankets
Mablanketi ya shule
hotel blankets
Mablanketi ya mahoteli
Bookstore
Duka la vitabu
roses (flower of the rose)
Maua ya waridi
cooking knowledge
Maarifa ya kupika
a corn farm
Shamba la mahindi
Today's newspaper
Gazeti la leo
Children's pineapples
Mananasi ya watoto
Students' hoes
majembe ya wanafunzi
river stones
Mawe ya mto
Work knowledge
Maarifa ya kazi
hot milk
maziwa ya moto
cold milk
maziwa ya baridi