Adjectives and (N/N) nouns

QuestionAnswer
a nice country
Nchi nzuri
a few bananas
ndizi chache
a short way
Nija fupi
big houses
Nyumba kubwa
Broad ways
Nija pana
Sweet bananas
ndizi tamu
a bad famine
Njaa mbaya
New house
Nyumba mpya
A long way
Nija ndefu
A new picture
Picha mpya
Bad luck
Bahati mbaya
a harsh winter (N/N)
baridi kali
good reasons
sababu nzuri
a large paper
karatasi kubwa
empty bottles
chupa tupu
my dear friend
rafiki yangu mpendwa
The new star (e.g. football star)
Nyota mpya
great joy / great happiness
furaha kubwa
sweet dreams
ndoto tamu
bad dreams
ndoto mbaya
a long road
barabara ndefu