Question | Answer |
---|---|
unclean spoons | Vijiko vichafu |
bad shoes | viatu vibaya |
wide beds | Vitanda vipana |
sharp knives | Visu vikali |
Bad food | Chakula kibaya |
delicious food | Chakula kitamu |
a narrow room | chumba chembamba |
the heavy book | Kitabu kizito |
huge spoons | Vijiko vikubwa |
a big shoe | Kiatu kikubwa |
dirty shoes | viatu vichafu |
a nice island | kisiwa kizuri |
Broken chairs | Viti vibovu |
a dirty cup | Kikombe kichafu |
university | Chuo kikuu |