Swahili 9 - Adjectives and M/Mi nouns

QuestionAnswer
a nice game
mchezo mzuri
nice games
michezo mizuri
long spears
mikuki mirefu
a big town
mji mkubwa
big cities
Miji mikubwa
short trees
miti mifupi
a little tree
Mti mdogo
a new ball
mpira mpya
long nails
misumari mirefu
Hard bread
mkate mgumu
heavy bodies
miili mizito
wide rivers
Mito mipana
big doors
milango mikubwa
the chief mosque
msikiti mkuu
a sharp pair of scissors
Mkasi mkali
long borders
mipaka mirefu
a good umbrella
mwavuli mzuri
a big bag
mfuko mkubwa
a great project
mradi mkubwa
a long meeting
Mkutano mrefu
a long chain
mnyororo mrefu
Good examples
Mifano mizuri
Sweet sauce
Mchuzi mtamu
a nice mat
Mkeka mzuri
a nice plant
Mmea mzuri
tall trees
miti mirefu
a big fire
moto mkubwa